Kuna nini CHADEMA Tarehe 27/02/2025, Mbona matangazo kona zote Duniani?

Tunataka tumpige mbowe viboko hadharani kwa ufisadi aliofanya ndani ya chama chetu
 
chadema hakuna hata mmoja mwenye akili viongozi na wafuasi wao yaani walivyokuwa wanamshangilia mbowe awavushe leo haohao wamegeuka kumuta mbowe fisadi? kunamtu anaakili hapo kweli?
 
Punguza kujieleza chawa mmoja wewe
 
Ndio Mimi na wenzangu hapa nilipo tunajiuliza Dunia nzima unaoongelea ni ipi ikiwa tu hapa Tanzania Tena dar mji mkubwa watu hatujaona hayo matangazo? Au ndio unatutangazia kijanja?
Dar si mnatazama harusi ya Mobeto, mtaonaje mambo mengine? nyie endeleeni kushabikia ujinga
 
Screenshot_2025-02-27-17-17-54-1.png
 
Back
Top Bottom