Kuna nini form six?

Kuna nini form six?

Masihi.m

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
104
Reaction score
66
Jaman napenda kujua kwa nini website karibu zote za serikali wameondoa matokeo ya form six na wameyaacha ya form four?
 
aha,kama unataka kuyapata ingia necta.go.tz alaf ingia search andika matokeo kidato cha sita 2013
 
Back
Top Bottom