Kuna nini huko, mbona gunia la viazi Dar es Salaam ni laki 1?

Kuna nini huko, mbona gunia la viazi Dar es Salaam ni laki 1?

Tanzania tunashukuru Mungu kwa kuingia uchumi wa kati mpaka sasa gunia la viazi wanauza kuanzia 98.000 hadi 110.000

Tatizo ni uzalishaji mdogo kila mtu kawa machinga au tatizo ni madalali kujipangia bei zao wenyewe?
Halafu huko Njombe wanawanyonya wakulima wananunua 25,000/- gunia
 
Mwaka jana, mwezi kama huu gunia lilikuwa linasimama kati ya 50,000 mpaka 55,000!

Miaka ya nyuma zaidi, kipindi hikicha mwezi wa sita, gunia mpaka 40,000.

Leo, bila 90,000 pita mbali na gunia. Ndoo kubwa 20,000.Ni muda wa kufunga MABANDA yetu ya chipi.
 
Viazi imepanda mpaka mbeya zimekuwa hadimu tofauti na mwanzo japo chips ni 1000 ila kipimo kdg kimepungua
 
Back
Top Bottom