The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Nakumbuka Zola alikuwepo kwenye kikosi cha Azzuri World cup 94,akapigwa red card katika mechi yao na Nigeria,nadhani kuanzia hapo hakuweza tena kupata nafasi katika National team.Sio jambo geni katika soka.
Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.
Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
World Cup ya 1998 iliyofanyika pale Ufaransa pia hakuitwa. Akakasirika akaamua kustaafu.Nakumbuka Zola alikuwepo kwenye kikosi cha Azzuri World cup 94,akapigwa red card katika mechi yao na Nigeria,nadhani kuanzia hapo hakuweza tena kupata nafasi katika National team.
Mzee mwenzangu ongeza na ginola katika mifano yako.Sio jambo geni katika soka.
Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.
Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
Ginola alipochomesha mechi ile dhidi yq Bulgaria na kusababisha Ufaransa isifuzu World Cup ya 1994 alibaki kuisikia timu ya taifa kwenye bomba. Kocha alikuwa Gerald HoullierMzee mwenzangu ongeza na ginola katika mifano yako.
Mbona sababu iko wazi hauwezi kuwa na mabeki namba 4 wote wanatumia miguu ya kushoto Varane anatumia mguu wa kushoto,laporte pia. Akichukuliwa laporte varane anapaswa kuachwaMsimu huu Laporte ni beki pekee kutoka timu tofauti na Liverpool ambaye ametengeneza safu ya mabeki katika kikosi bora cha msimu cha EPL..!
Kama unaifuatilia ligi ya Uingereza na umewahi kuangalia mechi za Man City ni lazima utakubali kuwa Laporte ni bonge la beki..!
Lakini kitu cha ajabu Didier Deschamps amekuwa akimuacha jamaa kila anapotaja kikosi cha timu ya taifa..!
This time nilitegemea ni lazima atamuita,lakini amemuacha tena..!
Hivi ni Kweli wakina Zouma na Sakho ni bora kuliko Laporte..!?
Au mafanikio ya kombe la dunia ndio yanampa kiburi huyu kocha..!?
Jinga sana Didier Deschamps..!!!
Euro 96 alicheza, yeye italia,bergkamp uholanzi,stoichkov bulgaria,klinsman ujerumani, waliinogesha sana mashindano yaleNakumbuka Zola alikuwepo kwenye kikosi cha Azzuri World cup 94,akapigwa red card katika mechi yao na Nigeria,nadhani kuanzia hapo hakuweza tena kupata nafasi katika National team.
Mbona sababu iko wazi hauwezi kuwa na mabeki namba 4 wote wanatumia miguu ya kushoto Varane anatumia mguu wa kushoto,laporte pia. Akichukuliwa laporte varane anapaswa kuachwa
Basi ni shoga sanaOhh nilijua laporte ni Spain
But huyo5kocha wana bifu na pep it May be the reason
Wewe Olivier ana umuhimu wake bana ..mchizi ana nyota ya makombe ..uwepo wake kwenye timu yeyote ile lazima ishinde kombe ..uyo Lacca hawajai hata kikombe cha maji aende national timu kufanya nini?Atasingizia technics ila kwangu ndio yale ya kumuacha Lacazette na kumbeba Giroud bahat nzuri kwake France walibeba ndoo!! Kiukweli hata iweje Giroud hawez kuwa zaid ya Lacazette.. Ndio haya ya Laporte
Duh..!Mbona sababu iko wazi hauwezi kuwa na mabeki namba 4 wote wanatumia miguu ya kushoto Varane anatumia mguu wa kushoto,laporte pia. Akichukuliwa laporte varane anapaswa kuachwa
Mkuu tatizo zamani waitaliano walikuwa wanaamini ligi yao na utamaduni ni bora na unahitaji kulindwa,kwa hiyo ilikuwa ukihama Italia sahau kuchezea Azzuri maishaniWorld Cup ya 1998 iliyofanyika pale Ufaransa pia hakuitwa. Akakasirika akaamua kustaafu.
Kwa kifupi hakutendewa haki kabisa, alichezea timu ya taifa mechi 35 tu.
Ni kama beki wa zamani wa Man Utd Steve Bruce, licha ya uhodari klabuni kwake na pua kuwa nahodha wa Man Utd huku akitwaa mataji kadhaa ya EPL lakini kwwnye timu ya taifa ya England alicheza mara moja tu.
Kwahyo kuna muda makocha wa timu za taifa huwa na maamuzi ambayo yanaumiza wengine.
Hakuna cha bifu wala nini,laporte ni beki wa mechi ndogo na laini maana mechi ngumu zote huwa ni mzee wa kuchomesha tuOhh nilijua laporte ni Spain
But huyo5kocha wana bifu na pep it May be the reason
Jamaa ni mbaguzi wa rangi tu.Eti jamani Lachazete kaachwa si utani huu
kwa hili sidhani kama rangi inahusikaJamaa ni mbaguzi wa rangi tu.