the reformer
Senior Member
- Dec 15, 2014
- 195
- 68
Wadau ni mda mrefu sasa kumekua na habari mtaani.Kwamba Cuf au Maalim Self wakipewa Nchi ya Zanzibar .Wale waarabu na Ukoo wa Sultan watarudi kuitawala tena Zanzibar.Na hii ndio sababu CCM hawako tayari kuwapa nchi hata kama wanashinda uchaguzi.Na kwa nini Maalim Self hataki kutoka hadharani kufafanua juu ya hii ishu kwani ipo na ina semwa sana toka kitambo.CCM Zanzibar wamesha sema kua nchi iliyo patikana kwa mapinduzi hawawezi kuikabidhi kwa Makaratasi.Viongozi wa Cuf Zanzibar pamoja Na Maalim Self tunaomba ufafanuzi juu ya hili..
Wadau ni mda mrefu sasa kumekua na habari mtaani.Kwamba Cuf au Maalim Self wakipewa Nchi ya Zanzibar .Wale waarabu na Ukoo wa Sultan watarudi kuitawala tena Zanzibar.Na hii ndio sababu CCM hawako tayari kuwapa nchi hata kama wanashinda uchaguzi.Na kwa nini Maalim Self hataki kutoka hadharani kufafanua juu ya hii ishu kwani ipo na ina semwa sana toka kitambo.CCM Zanzibar wamesha sema kua nchi iliyo patikana kwa mapinduzi hawawezi kuikabidhi kwa Makaratasi.Viongozi wa Cuf Zanzibar pamoja Na Maalim Self tunaomba ufafanuzi juu ya hili..
Oman ni nchi tajiri sana, ina watu milion 4 tu, leo hii unatuaminisha propaganda za ccm kuwa Sultan atarudi. Vipi kuhusu mwingereza atarudi tanganyika enhee?Wadau ni mda mrefu sasa kumekua na habari mtaani.Kwamba Cuf au Maalim Self wakipewa Nchi ya Zanzibar .Wale waarabu na Ukoo wa Sultan watarudi kuitawala tena Zanzibar.Na hii ndio sababu CCM hawako tayari kuwapa nchi hata kama wanashinda uchaguzi.Na kwa nini Maalim Self hataki kutoka hadharani kufafanua juu ya hii ishu kwani ipo na ina semwa sana toka kitambo.CCM Zanzibar wamesha sema kua nchi iliyo patikana kwa mapinduzi hawawezi kuikabidhi kwa Makaratasi.Viongozi wa Cuf Zanzibar pamoja Na Maalim Self tunaomba ufafanuzi juu ya hili..
Ukweli ndio utakao tuweka huru.Ni vzur Maalim self mwenyewe..Akalitolea jambo hili ufafanuz kuliko kuwa kimya.Wazanzibar wanahitaji permanent solution sio kufunika kombeNadhani ni wajibu wetu kuhakikisha AMANI ya Zanzibar inadumishwa.Hivyo tuepuke mijadala inayoweza kuibua chuki .
Kama huna cha kuandika bora ungenyamaza.Akili zako sawa sawa na hao CCM wa Zanzibar.Mwarabu gani anayetaka kuja Zanzibar iliyooza
ISHU IKO HIVI KWA MUJIBU WA CHAMA CHA WANANCHI MAPINDUZI YA JANUARI 12 NI BATILI, NA WAO KAMA WATETEA HAKI WAKIINGIA MADARAKANI WATAREJESHA HALI IWE SAWA NAILEEE KABLA YA MAPINDUZI,
TECHNICALLY SULTAN JAMSHID BIN SAID ALIYEKO UHAMISHONI UK ATARUDI KWENYE KITI KAMA MFALME NA CUF ITAONGOZA SIRIKALI KAMA ILIVYOKUWA MUUNGANO WA ZNP NA ZPPP, WATWANA WOTE WALIOPEWA MASHAMBA EKA TATU TATU WATANYANG'ANYWA WARUDISHIWE MABWANA WENYEWE PAMOJA NA MALI ZAO ZENGINE
Nadhani ni wajibu wetu kuhakikisha AMANI ya Zanzibar inadumishwa.Hivyo tuepuke mijadala inayoweza kuibua chuki .
Angeulizwa tu mtoa hoja watarudi kama wabunge ba wawakilishi wa kuteuluwa ,wakuu wa mikoa wilaya,madiwani au au vipi?maana tuna utaratibu wetu wa kupeana madaraka japo CCM wameamua kuinajisi taratibu hiyo.Oman ni nchi tajiri sana, ina watu milion 4 tu, leo hii unatuaminisha propaganda za ccm kuwa Sultan atarudi. Vipi kuhusu mwingereza atarudi tanganyika enhee?
Maalim Self analitambua hilo.Ndio maana Anataka serikali ya Mamlaka kamili a.k.a Ya mkataba.Hoja yako ni kijinga, Zanzibar hawana jeshi, JWTZ ni la muungano. Huyo Maalim ili awalete waarabu wamtawale inabidi aipindue Tanzania ili yeye awe amiri jeshi mkuu ndipo anaweza kuamrisha hayo unayofikiri. Kiufupi haiwezekani.
Kuna katiba zanzibar .,usisahau kisha mbona watanganyika wana mijadala mingi kuhusu zanzibar kunani?
Yani kwa andiko hili hakuna swali,wewe UKAWAKama huna cha kuandika bora ungenyamaza.Akili zako sawa sawa na hao CCM wa Zanzibar.Mwarabu gani anayetaka kuja Zanzibar iliyooza
NISAHIHISHE MKUU JE CUF WANAMTAZAMO GANI KUHUSU MAPINDUZI YA JANAURI 12, WANAMTIZAMO GANI KUHUSU SULTAN SEYYID JAMSHID BIN SAID AL BUSAID.Acha kupandikiza chuki kwa maneno ya kipuuzi
SISI WATANGANYIKA TUNASHARE HUKO ZENJIBAR, WALE WAMAKONDE WA MACHUI, WANYAMWEZ WA NDAGAA,WALUGURU WA KIBOJE, WANDENGREKO NA WAZARAMO WA JANG'OMBE NA MAENEO MENGINE YA N'GAMBO NI NDUGU ZETU WA DAMU.Kuna katiba zanzibar .,usisahau kisha mbona watanganyika wana mijadala mingi kuhusu zanzibar kunani?
ZENJIBAR ILISHAKOMBOLEWA TAREKH 12 JANUARY 1964 NA WATWANA WAKAWA SAWA NA WAUNGWANA, NA WATWANA WAKAMILIKISHWA ARDHI NA WAKAPEWA HAKI SAWA KAMA BINADAMU WENGINE, SASA UKOMBOZI UNASEMA WEWE MBONA ULISHAPATIKANA? AU WANATUFANYIA REVERSE PSYCHOLOGY, YAANI WATALETA WAKIWA NA MAANA WATACHUKUA HUO UKOMBOZI ?Mtazamo wao ni kuleta ukombozi na kuwezesha wananchi wote kupata haki bila kujali rangi,jinsia wala dini yake,lakini waonavyo yale malengo yametupiliwa mbali