Kuna nini katika tarehe 17 February?

Kuna nini katika tarehe 17 February?

Mimi najiuliza kwanini wagombea urais 2015 karibu wote wamefariki?
1. Anna Mughway
2.Maalm Seif
3. Magufuli
4. Lowasa
 
Kwa wanasiasa wa mrengo wa Kichadema, watasema, ni Mungu wao😅😇😌

Hakuna anayeepuka ajali. Accidents happen to everyone, even popes!

Muumba atuepushe na ajali. Amen
 
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Magufuli hakufariki tare 17
 
No correlation at all(Hayo matukio yote uliyoyaandika hayana mahusiano kabisa!) Kila moja lipo kivyake.
 
Wingi wa baraka zinakuja. Huu ndio wakati mwafaka wa kuwa wazi juu ya malengo yako ya mwisho na kuwa na imani kwamba ni suala la muda tu kabla ya yote unayotamani kudhihirika mbele ya macho yako.
 
Back
Top Bottom