Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia itashuka kama mia 2 hiviBei lazima ishuke, watake wasitake. Tena inashuka sehemu kubwa sana
Cash flow ikishuka maana yake mzigo utakuwa nao wa kuendelea kuuza. Au huelewi ulichomaanisha??Kama cashflow imeyumba nashindwa kuagiza what then ?, Watanipa Mkopo ?
Mkuu cashflow ikishuka mzigo taagiza vipi ? huenda mzigo nimetoa kwa credit kwa wadau na bado sijalipwa..., kwahio siwezi kufanya manunuzi immediate sababu sina cash yote ipo help up somewhereCash flow ikishuka maana yake mzigo utakuwa nao wa kuendelea kuuza. Au huelewi ulichomaanisha??
Hapo utakuwa umeuza kidogo na kingi kimebakia hivyo huwezi kosa mzigo.
hii ndio sababu ya msingi, wafanya biashara ya mafuta wana mambo ya ajabu sana, bei ilivyopanda na wao walipandisha usiku huo huoBei inaenda kushuka kwa hiyo wafanya biashara hawataki kuchukua mzigo sasa wa bei ya sasa waka kuuza kwa bei ya chini. Wanasahau kuwa wakati bei inapanda hawakusema tunapata faida haramu.
Ila sina uhakika kama wanaweza kuwafungia, labda watawaonea wachache