Kuna nini kinaendelea kwenye mambo ya Ajira za Sensa?

Kuna nini kinaendelea kwenye mambo ya Ajira za Sensa?

Nilisikia wapi kwenye hatua ya kuwapa seminar wakufunzi ngazi ya wilaya, kwahiyo muda si mrefu wataanza kuita majina, kabla ya tarehe 1/8/2022. Tuwe na subra
 
Hivi kuna nini kinaendelea kwenye mambo ya ajira za sensa

Mana mpaka leo kimyaaa

Sio lazima mimi nipate ila hata majina yakitoka na nikajua nimekosa wamepata wengine nalo ni jambo jema

Sasa huu ukimya wao ndo unatutisha
Mkuu hatari sana, hiyo ni two weeks ago watu walikua semina😂😂
 
Attachments

  • C59F4E05-3F84-4540-B17F-16664A2C0E98.jpeg
    C59F4E05-3F84-4540-B17F-16664A2C0E98.jpeg
    70.1 KB · Views: 6
Mkiharibu Kazi mtapatikana wapi? Infact vijana wengi (sio wote) hawana commitment na Kazi. Hii ni sensitive work so inahitajija watu ambao wako vzr. Nyie endeleeni kukesha YouTube mkimuangalia Diamond na Alikiba wametoa nyimbo Gani mpya. Hiz Kaz zina wenyewe nyie subirini kuhesabiwa tu
 
Si nilisikia usipoacha form kwa mtendaji hauchaguliwi?
maana wengi hawakupeleka ile form walibaki nayo.
 
Mkiharibu Kazi mtapatikana wapi? Infact vijana wengi (sio wote) hawana commitment na Kazi. Hii ni sensitive work so inahitajija watu ambao wako vzr. Nyie endeleeni kukesha YouTube mkimuangalia Diamond na Alikiba wametoa nyimbo Gani mpya. Hiz Kaz zina wenyewe nyie subirini kuhesabiwa tu
Kwa kweli tuendelee na Mambo mengine. Nimetoka kwenye kata yangu bado kweupee.
Kazi ya sensa ndogo Sana nikilinganisha na hizi za Project evaluations.
Screenshot_20220717-123844.jpg
 
Back
Top Bottom