GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC.
Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?