YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Mzee, kama mmeshindwa kutupandishia mishahara msitupandishie gharama kwenye huduma za kifedha.Mbona gharama zilipanda tangu mwezi February, ukitoa elfu 9 unakatwa buku badala ya 800 ya awali.
Nahis wanaongeza tena ngoja tusubiriMbona gharama zilipanda tangu mwezi February, ukitoa elfu 9 unakatwa buku badala ya 800 ya awali.
Hahaaaa dawa ya deni, mkuu lipa pesa ya wenyeweMPESA Yale madeni ya songesha walitutumiaga SMS kwamba hayapo tena nashangaa Leo kupata SMS wameyarudisha na tunapigwa wadaiwa sugu.