Kuna nini kinafanyika kwenye huduma za kifedha za mitandao ya simu?

Kuna nini kinafanyika kwenye huduma za kifedha za mitandao ya simu?

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
569
Jana nilitaka kufanya muamala kutoka M-PESA kwenda Tigo Pesa ikawa inakataa, mpaka hapo asubuhi ya leo nilipoamua kuwapiga.
wakasema wanatengeneza!

Hayaa, nimeingia leo kuperuzi Facebook nimekutana na tangazo la Tigo nao TIGO PESA yao haipo hewani.

Nimeingia JF nakutana na TTCL nao na huduma yao ya T PESA haipo hewani.

Je, kuna nini hawa wote wanakiboresha?

Au wanakuja na gharama mpya za miamala?
 
Mbona gharama zilipanda tangu mwezi February, ukitoa elfu 9 unakatwa buku badala ya 800 ya awali.
 
MPESA Yale madeni ya songesha walitutumiaga SMS kwamba hayapo tena nashangaa Leo kupata SMS wameyarudisha na tunapigwa wadaiwa sugu.
 
MPESA Yale madeni ya songesha walitutumiaga SMS kwamba hayapo tena nashangaa Leo kupata SMS wameyarudisha na tunapigwa wadaiwa sugu.
Hahaaaa dawa ya deni, mkuu lipa pesa ya wenyewe
 
Back
Top Bottom