Mmh WaTZ kwa maneno bwana...dah..yanaweza kuua mtu...tehtehtehWalimwaga mboga, tukamwaga ugali.
Wakamwaga maji ya kunawa, ndipo tukapindua meza kabisa...[emoji12][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh WaTZ kwa maneno bwana...dah..yanaweza kuua mtu...tehtehtehWalimwaga mboga, tukamwaga ugali.
Wakamwaga maji ya kunawa, ndipo tukapindua meza kabisa...[emoji12][emoji12]
Futa hii comment haraka kabla ya Tony254 kuisoma maana kesho tu atafunga safari kuelekea Uganda huku hakijidai nae dereva ili wamuweke karantini ya kishoga![]()
MY TAKE
Kila neighbor anachukia Nyang'au! Now central corridor should up their game n step in maana huko Northern corridor kuna nyang'au kapakatwa na kuliwa kiboga huko! 😀😀😀
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Walicho kubaliana ni kutotaja jina la nchi specifically but watumie madereva wa kigeni...so hiyo haimanishi kwamba number isisomwe . Swali ni kwanini hawaendelei kusema hiyo idadi?
Walicho kubaliana ni kutotaja jina la nchi specifically but watumie madereva wa kigeni...so hiyo haimanishi kwamba number isisomwe . Swali ni kwanini hawaendelei kusema hiyo idadi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimwaga mboga, tukamwaga ugali.
Wakamwaga maji ya kunawa, ndipo tukapindua meza kabisa...[emoji12][emoji12]
kwakuwa lengo la kutaja nchi liliishafamika na akili kubwa,automatic kutaja madereva wa mataifa inakosa kick,itajifia kifo cha asili.Walicho kubaliana ni kutotaja jina la nchi specifically but watumie madereva wa kigeni...so hiyo haimanishi kwamba number isisomwe . Swali ni kwanini hawaendelei kusema hiyo idadi?
Sent using Jamii Forums mobile app