Kuna nini kwenye kifo, Je ukifa unaenda wapi?

unaamini blindly
toa ushahidi kuwa yesu alikuwepo hapa duniani
 
Miili yao itapatikana wapi au watapewa miili mipya?
UFU. :20:13
Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.

Kwa namna yoyote ile waliyokufa watapatikana

Swali la kuhusu miili kubadilishwa lipo ila kwa wale watakatifu pekee ili wapate miili mipya isiyopatikana na mauti tena Ila kwa waovu watafufuka na miili yao maana mara baada ya hukumu wana mauti nyingine tena wakipewa miili mipya itawafanya wasife milele na hivyo kuteseka katika moto walioandaliwa
 
I'm ready to die and nobody can save......... yes I'm ready.......
Now I lay me down to sleep,
I pray the Lord my soul to keep,
If I should die before I 'wake,
I pray the Lord my soul to take

Notorious B. I.G noma sana
 
Utakwendaje wakati umekufa? Kifo ni mwisho wa uhai hakuna safari wala maisha tena baada ya kifo. Hakuna tofauti na wanyama kama mbuzi, ng'ombe, kuku na wengine wote tunaowaua kwa chakula au wanaokufa wenyewe. No life after death brother!
 
Buji mistari hii
I'm ready to day and nobody can save......... yes I'm ready.......
Now I lay me down to sleep,
I pray the Lord my soul to keep,
If I should die before I 'wake,
I pray the Lord my soul to take

Notorious B. I.G noma sana
katika ngoma gani ya big
 
Wafu hawaendi Bali miili yao imapelekwa shimon kwenye makabuli
 
Nitarejea
 
Ukifa unarudi mavumbini ulipotoka na pumzi ya Mungu aliyokupulizia puani ili uwe nafsi hai inamrudia yeye hii pumzi haina utambuzi wowote

Kwa kifupi tu ukifa unabaki kaburini mpk marejeo ya Kristo mara ya pili
chanzo chetu ni mavumbi we jamaa[emoji15]
 
Kwa upande wa ufufuo inasemekana kila roho itavikwa mwili mpya na kwa wale waliyemuamini mungu watapewa mwili wakuto kuharibika.
Lakini pia kunanadhalia za kisayansi zinazosema kuwa mtu akifa anaenda kuzaliwa mahara pengine ndio maana utakuta either watu wanafanana katika ukoo wakati hawana hata undugu wakifamilia. Asante.
 
Je kuna ushahidi wowote wa DNA uliowahi kutolewa ili kusibitisha kwamba kuna mfanano wa DNA kati ya huyu aliokufa huku na yule aliyezaliwa kule ukiachana na mfanano wao wa Sura?
 
Ukifa unarudi mavumbini ulipotoka na pumzi ya Mungu aliyokupulizia puani ili uwe nafsi hai inamrudia yeye hii pumzi haina utambuzi wowote

Kwa kifupi tu ukifa unabaki kaburini mpk marejeo ya Kristo mara ya pili
Baada ya kifo not hukumu" huwa abahukumiwa nani sasa kama unabaki mavumbini npka Yesu arudi?
 
And what is your interpretation concerning that scripture?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…