Man Ching
Member
- Jul 17, 2018
- 62
- 57
Ukisema kama inaonyesha hauna uwakika hapoKufa ni km siku ambayo ulilala usingizi mzito sana bila kujitambua, sasa badala ya kuamka unakuwa ntolee hiyo, km hukuogopa wakati umelala basi huwez kuhisi chochote ukishakufa