Man Ching Member Joined Jul 17, 2018 Posts 62 Reaction score 57 Jul 20, 2018 #61 Nelson Mwombeki said: Kufa ni km siku ambayo ulilala usingizi mzito sana bila kujitambua, sasa badala ya kuamka unakuwa ntolee hiyo, km hukuogopa wakati umelala basi huwez kuhisi chochote ukishakufa Click to expand... Ukisema kama inaonyesha hauna uwakika hapo
Nelson Mwombeki said: Kufa ni km siku ambayo ulilala usingizi mzito sana bila kujitambua, sasa badala ya kuamka unakuwa ntolee hiyo, km hukuogopa wakati umelala basi huwez kuhisi chochote ukishakufa Click to expand... Ukisema kama inaonyesha hauna uwakika hapo
Presenter Noah Member Joined Dec 27, 2014 Posts 23 Reaction score 12 Jul 21, 2018 #62 Nelson Mwombeki said: Kifo hakitishi, ndomana mtu anayekata roho anataabika ila akishamaliza anakuwa mtulivu anarelax anakubaliana na hali kuwa YAMESHATIMIA Click to expand... Kinatisha mzee hebu imagine upo kwa Mungu halafu unaona midhambi yako hata pakuchomokea hupaoni
Nelson Mwombeki said: Kifo hakitishi, ndomana mtu anayekata roho anataabika ila akishamaliza anakuwa mtulivu anarelax anakubaliana na hali kuwa YAMESHATIMIA Click to expand... Kinatisha mzee hebu imagine upo kwa Mungu halafu unaona midhambi yako hata pakuchomokea hupaoni