Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinalipuka vibaya sana kama dakika 10 hiviNasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
Siyo Lugalo labda Kunduchi au pale uwanja wa shabahaMpaka muda huu milio inasikika sidhani kama ni kawaida, yasije kutokea ya Gongolamboto.
Nahisi maeneo ya LUGALO.
Mlioko maeneo ya LUGALO, Mbezi ama KUNDUCHI, mtutoe wasiwasi.
Isije ikawa mnarushiwa maroketi mithili ya Israel ilivyokuwa ikirushiwa na magaidi ya Palestina, Lebanon na Iran.Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
Wataste satellite watambe...akili hiyo hawana, wanachojua wao ni kuchafua mchakato wa uchaguzi.Uvccm wanatest satellite kwenda Mars