Kila msanii akipoteza dira chanzo ni CloudsMWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila msanii akipoteza dira chanzo ni CloudsMWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
Hizi lawama nyingine kweli kila anayeshuka utafuta sababu...MWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
duuh mapunda wanashida hivi yale mavidonge huwa yanapitia mdomoni au tigonihujui wewe ..
chanzo cha hao kula ngada sio kama wanapnda ..huwa wanaanza kula ngada baada ya kuwa mapunda ..sasa ukiwa punda Yale madawa unayoyameza huwa yanafnya mwili uwe unanying'onyea sasa ili kuurejesha katika hali yake lazima ubust kwakuuvuta ndio mwili unarejea kuwa sawa ...ifahamike kuwa wanapobeba huo unga wanapata mshiko mnene kaisi ..sasa ili waweze kuendelea kuubeba nilazima mwili uwe katka hali nzuri so hapo ndio wanalazimika kuutumia unga ili mwili upate kuwa poa ...maana kama nilivyokwambia unapobeba unga ukishautoa mwili unakuwa haupo sawa unakuwa na uchovu mnoo ...
so Tabia hiyo inapokubuhu ndio humfnya mtu anakuwa addicted mwisho wasiku anakuwa teja mazimaaaaa
mkuu huwa wanameza mdomoni ..ila kuna wanaopitishia nyuma but kwa uchche sio kwa wingi ule wa vidonge vinavyopitia mdomoni...duuh mapunda wanashida hivi yale mavidonge huwa yanapitia mdomoni au tigoni
trial balance...we utakuwa mhandisi tuAnaumiza kichwa hesabu hazikai sawa, ile kwenye book keeping tunayoita "balance sheet"...inagoma kubalance.
Ohh thanx, nilikuwa nashindanisha ubongo ni ipi kati ya trial balance na balance sheet.trial balance...we utakuwa mhandisi tu
madawa ya kilimo na mifugo..?MWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
Msizibebe dhambi za kujitakia aisee,MWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
Post yake ya mwisho ni 12 August 2017. Inatia shaka. Huu Uzi uwe kumbukumbu ya mashaka yetu.Hata Instagram kwake kupo dormant
Alilimaliza vipi wakati hadi viongozi wenzie walimpiga Vita na baadhi humu JF ndio walikuwa wapingaji wakubwa na majina ya kila aina walimwita, mkuu biashara ipo sema kasi imepunguaTatizo la unga Bashite alilimaliza tangu mwaka jana.
Alilimaliza vipi wakati hadi viongozi wenzie walimpiga Vita na baadhi humu JF ndio walikuwa wapingaji wakubwa na majina ya kila aina walimwita, mkuu biashara ipo sema kasi imepungua
Haki ya MunguS
Sema haki ya mungu