Kuna nini; Mbona Darasa yupo kimya sana?

duuh mapunda wanashida hivi yale mavidonge huwa yanapitia mdomoni au tigoni
 
duuh mapunda wanashida hivi yale mavidonge huwa yanapitia mdomoni au tigoni
mkuu huwa wanameza mdomoni ..ila kuna wanaopitishia nyuma but kwa uchche sio kwa wingi ule wa vidonge vinavyopitia mdomoni...
hahaa wanashida mnooo maana huwa wanavinya halafu vinasafishwa nakupewa mtiu mwingine avimeze ..yahitaji uwe kauzu mnooo..ijapokuwa kbla ykumezwa huwa vinafungwa vizuri ktk foili ya kufngia chips...ufngaji ukikosewa tu ..basiii jiandae kurudisha namba
 
sembe kwa ubora wake ..yupo sehemu za beach hukooooo na chidibenz wanapata dozi za sindano kutoka afganistan
 
unajua mapromota wakitaka kula vyako bila kupata bugdha lazima wakuwashe iwe kwa kutaka ama lah... DARASA tulitumie tuu kama sehemu ya kujifunzia kwa sasa maana tayari lina nyufa zaidi ya zile joint.
 
Ninamtakia kila la kheri! Hopefully uko aliko anatengeneza kazi mpya.
 
Tatizo la unga Bashite alilimaliza tangu mwaka jana.
Alilimaliza vipi wakati hadi viongozi wenzie walimpiga Vita na baadhi humu JF ndio walikuwa wapingaji wakubwa na majina ya kila aina walimwita, mkuu biashara ipo sema kasi imepungua
 
Alilimaliza vipi wakati hadi viongozi wenzie walimpiga Vita na baadhi humu JF ndio walikuwa wapingaji wakubwa na majina ya kila aina walimwita, mkuu biashara ipo sema kasi imepungua

You didn't get the sarcasm. Bashite alikuwa anatafuta ujiko tu, vita ya madawa ya kulevya haiko vile.
 
Madawa utadhani pepo, mtu akifanikiwa tu kidogo lazma adondokee huko. Wachache sana wanaochomoka pole zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…