likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
MKUU, SI INASEMEKANA JAMAA NI TISS GENTAMYCINE EBU TUPE UDAMBWI HAPA NA USEREREKE
amewowaBaada ya kusumbua na hits kali kama
(i) Kama Utanipenda
(ii) Too Much
(iii) Muziki
(iv) Hasara roho
kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
View attachment 697033
HHAHAHA MKUU GENTAMYCINE EBU TIRIRIKA MKUU, WEWE NI MTU WA SYSTEM, LAZIMA UTAKUWA DEEP IN DETAILS
Labda wa dona mkuu maana wakati ule nakumbuka baadhi ya maeneo ya nchi yalikumbwa na ukame hadi kusafirisha mazao nje ya nchi ikawekwa marufuku.Tatizo la unga Bashite alilimaliza tangu mwaka jana.
GENTAMYCINE KWANI HATA FAMILIA PIA SI SYSTEM!
Alipaishwa kua yeye kaja kumpoteza DIAMOND na media,sasa wamemtumia mwisho wamemuachaBaada ya kusumbua na hits kali kama
(i) Kama Utanipenda
(ii) Too Much
(iii) Muziki
(iv) Hasara roho
kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
View attachment 697033