Wanabodi..., inamaana humu javini hakuna hata mmoja wenu anayegushwa na suala la vijana wetu kukesha barabarani na kuacha kuzingatia masomo yao, wakitafuta pesa za kujikimu?
Mkuu, nadhani sio kweli. Serikali inatoa fedha kwa mwezi au robo mwaka! Fedha zikichelewa kutoka Hazina, zinachelewa kufika kwa wanafunzi. Ila naona kama mambo yameboreka sana ukilinganisha na enzi zile za migomo na maandamano kwenda TIRDO!Bodi ya mikopo hawana shida maana pesa ya watoto ya mwaka mzima inatolewa mwanzoni mwa mwaka wa masomo pindi unapoanza,kuna tatizo la uaminifu ktk nchi yetu pale mtu anapohitaji haki yake ukizngatia hiyo pesa ni ya mkopo.
Mkuu, nadhani sio kweli. Serikali inatoa fedha kwa mwezi au robo mwaka! Fedha zikichelewa kutoka Hazina, zinachelewa kufika kwa wanafunzi. Ila naona kama mambo yameboreka sana ukilinganisha na enzi zile za migomo na maandamano kwenda TIRDO!Nasikia ile staff ya HESLB huwa wanapewa pesa mapema kabisa ila wanachofanya wao ni kwamba wanainvest kwny business zao au wanaiweka tu bank kwa muda flan then inarun shuhuli za ile bank HALAFU faida watakayoipata ndio inakuja kwa students kama mkopo...ni mbinu yao ya muda mrefu tu na ndio maana siku zote mikopo kwa wanafunzi inasumbua sana na haiji kwa wakati