Kuna nini mikopo ya vyuo vikuu?

Kuna nini mikopo ya vyuo vikuu?

Kanina

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
277
Reaction score
81
Ndugu zangu, jana niliona wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph wamegoma na kufukuzwa chuo, leo hii wanafunzi wa UDSM nao wamegoma...!
Hivi hasa tatizo liko wapi? Na kwanini hili suala la mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu halifikii tamati?
 
Wanabodi..., inamaana humu javini hakuna hata mmoja wenu anayegushwa na suala la vijana wetu kukesha barabarani na kuacha kuzingatia masomo yao, wakitafuta pesa za kujikimu?
 
Bodi ya mikopo hawana shida maana pesa ya watoto ya mwaka mzima inatolewa mwanzoni mwa mwaka wa masomo pindi unapoanza,kuna tatizo la uaminifu ktk nchi yetu pale mtu anapohitaji haki yake ukizngatia hiyo pesa ni ya mkopo.
 
hasa ilo tatizo lipo st joseph sijui ni nini wakuu tunateseka sana mpaka kupata bum
 
Sisi huku chuo chakata tulishapewa adi pesa field.
 
Huko vyuoni kuna kitu kinaitwa kwa kiingereza "POLITICS"kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu utakuwa umeelewa.jiulize mbona wamelipwa na kwa nini hawakulipwa kabla na ni nani aliuewambia wagome
 
Nasikia ile staff ya HESLB huwa wanapewa pesa mapema kabisa ila wanachofanya wao ni kwamba wanainvest kwny business zao au wanaiweka tu bank kwa muda flan then inarun shuhuli za ile bank HALAFU faida watakayoipata ndio inakuja kwa students kama mkopo...ni mbinu yao ya muda mrefu tu na ndio maana siku zote mikopo kwa wanafunzi inasumbua sana na haiji kwa wakati
 
Bodi ya mikopo hawana shida maana pesa ya watoto ya mwaka mzima inatolewa mwanzoni mwa mwaka wa masomo pindi unapoanza,kuna tatizo la uaminifu ktk nchi yetu pale mtu anapohitaji haki yake ukizngatia hiyo pesa ni ya mkopo.
Mkuu, nadhani sio kweli. Serikali inatoa fedha kwa mwezi au robo mwaka! Fedha zikichelewa kutoka Hazina, zinachelewa kufika kwa wanafunzi. Ila naona kama mambo yameboreka sana ukilinganisha na enzi zile za migomo na maandamano kwenda TIRDO!
 
Back
Top Bottom