Hizi PhD zingine Zina ukakasi Sana, mapungufu katika andiko hili mengi kama walivosema wengine, ila Lina uwezo wa kuvuta hisia kali za watu weusi (politics of anger) ambazo zimerudi kwa nguvu Sana hapa karibuni. Kwa namna ilivyoandikwa inaonyesha mtu mweupe asingejenga bwawa la umeme hata moja, lakini mengi tu walijenga wao,kama Cabora Bassa.HapaTz nasikia wao walibuni na kufanya survey maeneo karibu yote wakiwa wakoloni, sisi tunafanya kumalizia tu.Tusiwe na chuki kiasi hicho,tungekuwa sisi hata physics na hesabu tusingewafundisha wazungu.