Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,029
Reaction score
2,158
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na nimeona waislam wakiponda hiyo mikufu kwamba ni ishara ya kushabikia ushetani ama ukristo

Vanny boy

Boss simba
lava lava na konde boy

Mavoko


WCB WOTE KWA PAMOJA
 
Ukipenda unga unga mambo utahisi kila ukionacho sicho ila kina kitu nyuma yake.
What you see is what it is . (WYSIWII)
Kwan kina ubaya mkuu kama unajua chochote sema mkuuu tujue
 
Wanapenda kama wewe unavyopenda kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…