Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa inatakiwa use verified hapa jf maana umejibu bile unajua na ulivyo soma nakukubali mkuuu... Sio wengine wanajibu kama waleviKutoka sites mbalimabli google huo msalaba unaitwa Ankh cross.Chimbuko lake Ni wamisri.Huo msalaba una Maana ya uhai,muunganiko kati ya mwanamke na mwanaume na maisha baada ya kufa.
Kanisa la misri liitwalo the coptic church o Egypt wali adapt huo msalaba wanauita crux ansata yani msalaba wenye mshikio.Hii Ni kwasababu Unamaana ya uzima na ahadi ya maisha baada ya kifo au uzima wa milele kama Kristo alivyoahidi.
Katika kizazi chetu cha saivi wakristo pia hutumia hii misalaba kwani mengine ina Maana au historia zisizoeleweka na zinazojichanganya mfano msalaba ulionyooka unamaana ya kifo n.k
Kwa wanaosema ni Freemason pia wanapoint since knight templars wanatumia ankh sema yao Ina kimsalaba chekundu ndani ya huo mduara.
Knight templars kwa ufupi Ni order kwenye Freemasons ambapo unajiunga Kama unaamini ukristo.
Knight templars pia wanahistoria yao hawa jamaa wakarne ya kumi huko na kuendelea walitumika na kanisa kupigana vita vya wakristo(crusades) walikuwa wakikusanya hela Ulaya lengo nikulinda Jerusalem n.k
Kwa ufupi walikuwa matajiri Sana hadi wakadhaniwa wanasiri za uchawi walizozipata katika vita vyao maeneo mengi duniani.Mfalme Phillip alikuja kuwamaliza akitaka kujua ukweli ambapo mpaka sasa haujulikani.
Unajua tena Freemasons kiini kikubwa Ni kufa huku hujasema ukweli.
Anyway ndo ivo,knight templars wana symbols kibao ila wanatumia ankh pia kwasababu ya uzima blah blahblah
Kuhusu kuabudu shetani misjui.Some sources zinasema ankh ilisymbolise reincarnation ya mungu Ra wa Misri ambapo Ni Lucifer.Asa sjui Kama its a true or false allegation.
Fatilia label nyingi za muziki mleta uzi utagundua kwamba label huwa zinawapa cheni zinazofanana wasanii wao ili iwe identity ya label wabayotoka mfano mzuri ni MMG Rick Ross, G UNIT, QUALITY CONTROL, YOUNG MONEY ETC, Hivyo basi ni jambo la kawaida sio la kuhusisha na imani potofu.Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na nimeona waislam wakiponda hiyo mikufu kwamba ni ishara ya kushabikia ushetani ama ukristo
![]()
Vanny boy
![]()
Boss simba
lava lava na konde boy![]()
![]()
Mavoko
![]()
WCB WOTE KWA PAMOJA
Kwahyo hap ni wanajeshi mkuuu... Angalia lebel nyingi za music duniani hawana huu upumbavu wa kuvaa dare kama watoto wa shule... Jeshi ni kitu kingine na mkufu ni kitu kingine mkuuNa mimi ngoja nikuulize, 'Kwa nini nguo wanazovaa wanajeshi zote zinafanana? Kuna nini nyuma ya pazia'?
Bila pic mkuu hutoweza eleweka... Weka pic chief.... Lakini hizo lebel zingine chain zako zinakua na lebel ya group na sip msalaba na hatujui huo msalaba wenye kamviringo juu no mini ama ni lebel ya WCB?Fatilia label nyingi za muziki mleta uzi utagundua kwamba label huwa zinawapa cheni zinazofanana wasanii wao ili iwe identity ya label wabayotoka mfano mzuri ni MMG Rick Ross, G UNIT, QUALITY CONTROL, YOUNG MONEY ETC, Hivyo basi ni jambo la kawaida sio la kuhusisha na imani potofu.
Ni kweli mkuu label nyingi cheni zao huwa ni label zenye logo ya group kwa upande wa WCB sijui labda wao wameamua kutumia logo ya design hiyo ila tamati yangu ni kwamba wasanii wanaotoka label moja kuvaa cheni zinazofanana sio jambo la ajabu.Bila pic mkuu hutoweza eleweka... Weka pic chief.... Lakini hizo lebel zingine chain zako zinakua na lebel ya group na sip msalaba na hatujui huo msalaba wenye kamviringo juu no mini ama ni lebel ya WCB?
Na lengo tuone maana ya hiyo chain... Nadhan ukipitia vizuri hapo juu kuna jamaa kaeleza vizuriNi kweli mkuu label nyingi cheni zao huwa ni label zenye logo ya group kwa upande wa WCB sijui labda wao wameamua kutumia logo ya design hiyo ila tamati yangu ni kwamba wasanii wanaotoka label moja kuvaa cheni zinazofanana sio jambo la ajabu.
Mkuu namaanisha ya wasafi tuwaachie wasaf mana ndo waojua siri ya hyo mikufu ..Kwahyo ngoswe no nani hapo mkuu?