Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

We jamaa inatakiwa use verified hapa jf maana umejibu bile unajua na ulivyo soma nakukubali mkuuu... Sio wengine wanajibu kama walevi
 
wanatafuta kiki.
wanajua mtasema watakua on Top everyday
Jifunzeni kuona behind
nini Faida nini hasara...
nini hasa nia sahihi
 
Fatilia label nyingi za muziki mleta uzi utagundua kwamba label huwa zinawapa cheni zinazofanana wasanii wao ili iwe identity ya label wabayotoka mfano mzuri ni MMG Rick Ross, G UNIT, QUALITY CONTROL, YOUNG MONEY ETC, Hivyo basi ni jambo la kawaida sio la kuhusisha na imani potofu.
 
Na mimi ngoja nikuulize, 'Kwa nini nguo wanazovaa wanajeshi zote zinafanana? Kuna nini nyuma ya pazia'?
Kwahyo hap ni wanajeshi mkuuu... Angalia lebel nyingi za music duniani hawana huu upumbavu wa kuvaa dare kama watoto wa shule... Jeshi ni kitu kingine na mkufu ni kitu kingine mkuu
 
Bila pic mkuu hutoweza eleweka... Weka pic chief.... Lakini hizo lebel zingine chain zako zinakua na lebel ya group na sip msalaba na hatujui huo msalaba wenye kamviringo juu no mini ama ni lebel ya WCB?
 
Ni kweli mkuu label nyingi cheni zao huwa ni label zenye logo ya group kwa upande wa WCB sijui labda wao wameamua kutumia logo ya design hiyo ila tamati yangu ni kwamba wasanii wanaotoka label moja kuvaa cheni zinazofanana sio jambo la ajabu.
 
Na lengo tuone maana ya hiyo chain... Nadhan ukipitia vizuri hapo juu kuna jamaa kaeleza vizuri
 
Huenda ni ishara ya bahati ndio maana wanafanikiwa ghafla. Jaribu na wewe lakini ukubaliane na vitu fulani
 
We una amini vipi kwamba zile ni sign za freemason je ushawai kuwa mshiriki ata kutambua izo alama ...tupunguze chuki.
 
We una amini vipi kwamba zile ni sign za freemason je ushawai kuwa mshiriki ata kutambua izo alama ...tupunguze chuki.
Washiriki tunao humu ndip maana nikauliza kama hujui kaa kimya watu wanajua mambo
 
Nyuma ya pazia huwa kuna mengi sana Mkuu..! Cha msingi pambana na hali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…