Kuna nini TCU mwaka huu

kanyasu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2009
Posts
234
Reaction score
18
Wadau vijana mtaani wamechoka kuingia internet na kila siku wanakosa taarifa sahii za tcu,hebu wenye tarifa semeni kuna nini tcu kiasi kwamba leo hii zimebaki takribani siku 30 tyu vyuuo kufunguliwa hakuna majina au taarifa za uchaguzi wa vyuo.
 
Kwa kweli wanawaweka nyie vijana kwenye pressure!
 
Ndo hv hata mkifika chuoni mkidai vitu et ooh wanaandamana kwa fujo wanawapa mimosh!
 
TCU wamepoteza keys za ofisi.. Alafu 2day network ya mgao.. Pls dnt take t jokly nna asira ya nyigu.. I hate everythn
 
no hurry to go kwenye loans promise kama ipo ipo tu..
 
JMC hata me memind!tokeo wala halitok wiki hii!
TCU wamepoteza keys za ofisi.. Alafu 2day network ya mgao.. Pls dnt take t jokly nna asira ya nyigu.. I hate everythn
<br />
<br />
 
Yaani ndo maana ndugu zetu waliopo vyuoni migomo kila mara,daah yaani ndo 1/2 karne ya Uhuru!!!!!
 
halafu kuna mjinga mmoja humu jf kaweka post anadai selection za mwaka huu! Kama huna cha kuandika tulia tu!
 
Ka vipi msipanic mana hamuwezi jua kwamba wale wenye hasira ndo wanafanya kuchelewa kutoka kwa results.so be patient n zen wait a little japo kuwa inauma mana wazazi wana2ona kama wadanganyifu hasa kwa wale ambao matokeo yako mguu nje mguu ndani
 
Duh
Ka vipi msipanic mana hamuwezi jua kwamba wale wenye hasira ndo wanafanya kuchelewa kutoka kwa results.so be patient n zen wait a little japo kuwa inauma mana wazazi wana2ona kama wadanganyifu hasa kwa wale ambao matokeo yako mguu nje mguu ndani
<br />
<br />
 
Mitambo yao ipo INDIA MALAYSIA., so me naona ni mpaka wawa2mie kwanza majina ndo wale jamaa wayaweke kwenye mtandao
 
Mvumilivu hula mbivu. Utakula mbivu hadi lini???????????
TCU kaa chonjo. we TCU wewe???
 
Muwe wavumilivu jamani, tuwaachie wafanye kazi yao vizuri, but wawe waaminifu katika ahadi!! Wataaminika sana!! By Alfonce.
 
Kinachonishangaza ni kwamba, kwa nini mjipangie deadline kama hamtoweza kuifuata mwishoni? Kwanza walisema 6th June, 13th June, 1st week of July na sasa 4th August. Deadline zote zimewapita ... Na sasa 2nd round ya applications zimeanza kwa wale ambao hawakuchaguliwa (au ambao hawaku apply kabisa mara ya kwanza), swali langu ni hivi ... tutajuaje kwamba hatujachaguliwa ili tu apply tena kama hamtotoa matokeo?!

They are the most unreasonable/incompetent people around!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…