Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

TCU wamepoteza keys za ofisi.. Alafu 2day network ya mgao.. Pls dnt take t jokly nna asira ya nyigu.. I hate everythn

JMC hata me memind!tokeo wala halitok wiki hii!

Hilo nimeshali0na ka vp ata walitoe next year poa 2. I hate dis country bro

Yaani ndo maana ndugu zetu waliopo vyuoni migomo kila mara,daah yaani ndo 1/2 karne ya Uhuru!!!!!

Ka vipi msipanic mana hamuwezi jua kwamba wale wenye hasira ndo wanafanya kuchelewa kutoka kwa results.so be patient n zen wait a little japo kuwa inauma mana wazazi wana2ona kama wadanganyifu hasa kwa wale ambao matokeo yako mguu nje mguu ndani