mim ni mwanamke
Binafsi, mimi nina Pacha wangu ambaye amejifungua watoto mapacha...Ila kwa upande wangu mimi bado sijaoa na sijaanza safari ya kupata mtoto. But chances are; ninaweza kupata twins kwenye uzao wangu, I hope so!
Niko mbioni kusaka mwenza wa maisha..Dada Peace92, kama hujaolewa tunaweza kuzungumza tu, haina shida!
Hahahaaa mkuu umepiga bonge la promo sijajua Kama ushauri wako utaishia ulipoishia.dah we mbunifu.kila la heri
Shabaha tu Dada yanguhabari wakuu.natamani kupata watoto mapacha je kuna njia yeyote ya kusaidia kupata mimba ya watoto wapacha?asanteni
habari wakuu.natamani kupata watoto mapacha je kuna njia yeyote ya kusaidia kupata mimba ya watoto wapacha?asanteni
Mwambie mr. Agonge sana viaz vitamu na ww gonga sana viaz vitamu, inasemekana wayoruba ndio wanaongoza kwa kuzaliana mapacha na chakula chao kikuu nibviaz vitamu
Binafsi, mimi nina Pacha wangu ambaye amejifungua watoto mapacha...Ila kwa upande wangu mimi bado sijaoa na sijaanza safari ya kupata mtoto. But chances are; ninaweza kupata twins kwenye uzao wangu, I hope so!
Niko mbioni kusaka mwenza wa maisha..Dada Peace92, kama hujaolewa tunaweza kuzungumza tu, haina shida!
Kwani Viaz Vitamu Na Meiosis Ya Yai Vinahusian Vip?Maelezo Plz
Anatafuta mapacha sio mchumba!