Kuna njia yoyote ya kusaidia kupata Mimba ya Watoto Mapacha?

Peace92

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
261
Reaction score
57
habari wakuu.natamani kupata watoto mapacha je kuna njia yeyote ya kusaidia kupata mimba ya watoto wapacha?asanteni
 
Hata mimi nimeulizia kwa watu wanasema hakuna natamani kweli kupata mapacha kama kuna njia yoyote tuhabarishaneni jaman!
 
Mwambie mr. Agonge sana viaz vitamu na ww gonga sana viaz vitamu, inasemekana wayoruba ndio wanaongoza kwa kuzaliana mapacha na chakula chao kikuu nibviaz vitamu
 
Binafsi, mimi nina Pacha wangu ambaye amejifungua watoto mapacha...Ila kwa upande wangu mimi bado sijaoa na sijaanza safari ya kupata mtoto. But chances are; ninaweza kupata twins kwenye uzao wangu, I hope so!

Niko mbioni kusaka mwenza wa maisha..Dada Peace92, kama hujaolewa tunaweza kuzungumza tu, haina shida!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa mkuu umepiga bonge la promo sijajua Kama ushauri wako utaishia ulipoishia.dah we mbunifu.kila la heri
 
Aisee.. Mi nimejaribu kuchangia kwa nafasi yangu, wala sio mambo ya promo. Ni kweli tupu nilliyosema.
 
Mwambie mr. Agonge sana viaz vitamu na ww gonga sana viaz vitamu, inasemekana wayoruba ndio wanaongoza kwa kuzaliana mapacha na chakula chao kikuu nibviaz vitamu

Kwani Viaz Vitamu Na Meiosis Ya Yai Vinahusian Vip?Maelezo Plz
 
Binafsi, mimi nina Pacha wangu ambaye amejifungua watoto mapacha...Ila kwa upande wangu mimi bado sijaoa na sijaanza safari ya kupata mtoto. But chances are; ninaweza kupata twins kwenye uzao wangu, I hope so!

Niko mbioni kusaka mwenza wa maisha..Dada Peace92, kama hujaolewa tunaweza kuzungumza tu, haina shida!

Anatafuta mapacha sio mchumba!
 
Kwani Viaz Vitamu Na Meiosis Ya Yai Vinahusian Vip?Maelezo Plz

Sielewi mkuu, nilisoma pcm sio pcb... Hahaaa, mie niliikuta sehem tu hii nikaiweka kichwani kama ilivyo kwamba nimeongeza knowledge..
 
Unatakiwa pindi mnapomaliza tendo, wewe mwanamke ulalie tumbo lako muda wa dakika sitini(saa moja).
 
Binafsi, mimi nina Pacha wangu ambaye amejifungua watoto mapacha...Ila kwa upande wangu mimi bado sijaoa na sijaanza safari ya kupata mtoto. But chances are; ninaweza kupata twins kwenye uzao wangu, I hope so!

Niko mbioni kusaka mwenza wa maisha..Dada Peace92, kama hujaolewa tunaweza kuzungumza tu, haina shida!

Hii sound hii lazima imtoe nyoka pangoni...ngoja nikaiapply kwa wapenda mapachaz...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom