Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ni ishu ya muda tu ila hali ngumu ya maisha wanayoipitia binadamu wa mataifa ya Africa ipo siku nyani watapenya huko juu, Manyani yana uwezo wa kukwea kila aina zote za miti.
Sasa nyani watafanya nini wakiwa na dhamana kwenye nchi zao, hilo mtajua kazi ya nyani ni ipi.
Naomba tushirikiane kujadili sifa na hulka ya nyani ili tuone uelekeo wa huko twendako kama hii dalili itajitokeza.
Dhana ya unyani ipo au haipo?
Salaam 👍👍👍
Wadiz