Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

Sasa wanalipa Kwa wasio husika, kwanini wasiwatafute wahusika wakalipe huko ili na wao waumie?
 
Kwa sasa tupo pabaya zaidi kuna Raia feki wabara na raia feki wazanzibari na kuna wazanzibari ...wote hao wanashirikiana kufanya STATE CAPTURE ...Msoga gangi ni kikundi cha waislamu wanaotumika tu kama toilet paper kwa hayo makundi makuu 3
 
Mmmm
 
Yaaani Kachina ndani ya wodi ya muhimbili kabisa yaaani? Au apo aliletwa na majeraha.
? Na kwanini hakuna media yeyote iliyotangaza tukio hilo eeenhh
 
Sasa wanalipa Kwa wasio husika, kwanini wasiwatafute wahusika wakalipe huko ili na wao waumie?
Bila Tanganyika Mapinduzi ya Zanzibar yangepinduliwa na manowari za kijeshi zilizokuwa zinatoka Oman kuja Zanzibar kufanya counter revolution. Ndipo Zanzibar haraka haraka wakaomba ufanyike Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ili kufanya nchi ya Tanzania. Kwa msingi huo, manowari za kijeshi kuivamia Zanzibar ingekuwa ni kuivamia Tanzania. Ikabidi zigeuze kurudi Oman.

Watu wengi sana hawaelewi kwa nini muungano ulifanywa haraka sana miezi kama miwili tu baada ya mapinduzi, bila kuwa na majadiliano ya makubaliano ya muda mrefu. Ilibidi Karume amkubalie tu Nyerere, tena yeyey lipendekeza Zanzibar iwe mkoa wa Tanzania, Nyerere raisi yeye makamu wa raisi.
 
View attachment 3392578

Hapa kuna mtu anaaga mke na watoto anasema naenda kazini, na jioni anarudi nyumbani yuko sawa tu, na Ijumaa au Jumapili anaenda msikitini au kanisani!
Kwa nini tukio kama hili linatokea na haliandikwi kwa undani? Yaani hata huyu mwenyewe aliyetendewa hivi anaandika kama ni mtu amempiga na yai bovu. Kusema kweli sijaelewa kabisa hili tukio. Eti ''wasiojulikana mliniumiza sana wazee....'' Yaani injinia mzima anashindwa kuandika kwa usahihi kilichotokea? Anyway simlaumu sana huenda alichanganyikiwa.
 
Mimi nitashangaa sana watu wachache kama walivyo wazenji (tena siyo wote) kuweza kutufanyia unyama wote huu tena kwenye uwanja wetu wa nyumbani. Huku bara hakuna watu wenye akili?
 
Mimi nitashangaa sana watu wachache kama walivyo wazenji (tena siyo wote) kuweza kutufanyia unyama wote huu tena kwenye uwanja wetu wa nyumbani. Huku bara hakuna watu wenye akili?
Mkuu, ndani ya hii taasisi watu wapo kwa kulinda ugali na usalama wao badala ya maslahi ya wengine. Huko ndani hakuna kabisa kuaminiana. Kupotezana kupo hata huko ndani!
 
Mkuu, ndani ya hii taasisi watu wapo kwa kulinda ugali na usalama wao badala ya maslahi ya wengine. Huko ndani hakuna kabisa kuaminiana. Kupotezana kupo hata huko ndani!
Nakubaliana na wewe. Na ndiyo maana wakoloni na waarabu walipata urahisi mkubwa wa kututawala. Mwafrika hasa mtanzania kumsaliti ndugu yake kwa sababu tu ulaji ni rahisi sana.
 
Mzee naye hakuwa na wasomi wakimsaidia hata paper lakusaini Kwa muda mfupi hata miaka 2-5 yeye akakubali mpaka daima!!!! 🙄🙄🙄
 
Asante mkuu.....
...angalau kwa uchache.......
 
Kwa sasa tupo pabaya zaidi kuna Raia feki wabara na raia feki wazanzibari na kuna wazanzibari ...wote hao wanashirikiana kufanya STATE CAPTURE ...Msoga gangi ni kikundi cha waislamu wanaotumika tu kama toilet paper kwa hayo makundi makuu 3
Wewe ni mwehu....
 
Wanafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…