Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya kuzirekebisha zijirudi katika muonekano mpya, kuziweka ndani ya box sealed kama mpya, kisha kuziuza.
Zinavyoanza kuja hapa bongo tulikuwa tunapata daraja la mwanzo, lakini siku hizi biashara imeingiliwa, zipo za daraja la mwisho zinazowekewa vifaa vya daraja la chini, mfano camera original ya simu imeharibika inabadilishiwa ya kichina, Kifaa cha 4g kimeharibika inawekewa kifaa cha 3g, n.k. zinakuwa bei rahisi zaidi ukijumua na faida kubwa ukiuza.
Nilimuonya sana awe makini na hayo maduka, siku ya 2 kaniletea nimsetie vizuri network haoni 4g.
Tumeweka laini zake zote za mitandao minne hamna kitu, ractory reset wapi, cheza sana na settings, n.k.
Kairudhisha dukani mwenye duka kamwambia haina tatizo inakamata internet.
Ilibidi turudi wote nimpe backup, nikamuonyesha muuzaji sifa ya simu hio ni lazima iwe na sehemu ya kuchagua 5g na ikamate 4g, akaleta ujuaji kwamba lte sio 4g, nikamuonyesha maana ya lte ni 4g na videos za simu hio sehemu ikitumia 4g, bado alikataa.
Baada ya kuona ubishi unaendelea ikabidi tumpigie polisi flani aje, Muuza duka kusikia hivyo ndio kaona yaishe karudisha pesa.
Nimemshauri kama anataka kununua refurbished basi aende kwenye maduka yanayoaminika kwa muda mrefu, Refurbished kuna simu nzuri lakini inabidi uwe makini kununua daraja la kwanza, Yaani zina clean condition kuanzia muonekano hadi vifaa vya ndani.