Kuna ongezeko kubwa la simu refurbished daraja la mwisho, Simu aliyonunua rafiki haikamati 4g, wauzaji viburi, Tumetumia polisi kurudisha fedha

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya kuzirekebisha zijirudi katika muonekano mpya, kuziweka ndani ya box sealed kama mpya, kisha kuziuza.

Zinavyoanza kuja hapa bongo tulikuwa tunapata daraja la mwanzo, lakini siku hizi biashara imeingiliwa, zipo za daraja la mwisho zinazowekewa vifaa vya daraja la chini, mfano camera original ya simu imeharibika inabadilishiwa ya kichina, Kifaa cha 4g kimeharibika inawekewa kifaa cha 3g, n.k. zinakuwa bei rahisi zaidi ukijumua na faida kubwa ukiuza.

Nilimuonya sana awe makini na hayo maduka, siku ya 2 kaniletea nimsetie vizuri network haoni 4g.

Tumeweka laini zake zote za mitandao minne hamna kitu, ractory reset wapi, cheza sana na settings, n.k.

Kairudhisha dukani mwenye duka kamwambia haina tatizo inakamata internet.

Ilibidi turudi wote nimpe backup, nikamuonyesha muuzaji sifa ya simu hio ni lazima iwe na sehemu ya kuchagua 5g na ikamate 4g, akaleta ujuaji kwamba lte sio 4g, nikamuonyesha maana ya lte ni 4g na videos za simu hio sehemu ikitumia 4g, bado alikataa.

Baada ya kuona ubishi unaendelea ikabidi tumpigie polisi flani aje, Muuza duka kusikia hivyo ndio kaona yaishe karudisha pesa.

Nimemshauri kama anataka kununua refurbished basi aende kwenye maduka yanayoaminika kwa muda mrefu, Refurbished kuna simu nzuri lakini inabidi uwe makini kununua daraja la kwanza, Yaani zina clean condition kuanzia muonekano hadi vifaa vya ndani.
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original mara nyingi zimetumika marekani na ulaya, zinawekewa housing mpya, kubadilishwa vifaa vilivyoharibika, n.k.

Zinavyoanza kuja hapa bongo tulikuwa tunapata daraja la mwanzo, lakini siku hizi biashara imeingiliwa, kuna wafanya biashara wanaoleta zile za daraja la mwisho zinazowekewa vifaa cya daraja la chini, mfano camera original ya simu imeharibika inakuwa refubished kwa kuwekewa kamera ya kichina, Kifaa cha 4g kimeharibika inawekewa kifaa cha 3g, n.k.

Nilimuonya sana awe makini na hayo maduka, siku ya 2 kaniletea nimsetie vizuri network haoni 4g.

Tumeweka laini zake zote za mitandao minne hamna kitu, ractory reset wapi, cheza sana na settings, n.k.

Kairudhisha dukani mwenye duka kamwambia haina tatizo inakamata internet.

Ilibidi turudi wote nimpe backup, nikamuonyesha muuzaji sifa ya simu hio ni lazima iwe na sehemu ya kuchagua 5g na ikamate 4g, akaleta ujuaji kwamba lte sio 4g, nikamuonyesha maana ya lte ni 4g na videos za simu hio sehemu ikitumia 4g, bado alikataa.

Baada ya kuona ubishi unaendelea ikabidi tumpigie polisi flani aje, Muuza duka kusikia hivyo ndio kaona yaishe karudisha pesa.
Usinunue simu ya mtumba hata ikiwa bei rahisi kiasi gani.
 
Haha alafu watu wengi hawaelewi kuwa hii michezo inafanyika sana katika hizo simu za daraja la kwanza (Flagship mobile phones) USED hapo mjini kariakoo
 
Samsungiiiiii za used from dubai ndo zinaongoza kwa mambo hayo.
 
Simu ni Iphone. Mengine makalkuleta tu
Iphone kuna refurbished kibao, Hapa Tz ni wachache sana wenye uwezo wa kununua iphone dukani iliyotoka kiwandani wao wawe watumiaji wa kwanza, kuna malalamiko kwa baadhi ya wanunuzi kuuziwa refurbished daraja la mwisho
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya kuzirekebisha zijirudi katika muonekano mpya, kuziweka ndani ya box sealed kama mpya, kisha kuziuza.

Zinavyoanza kuja hapa bongo tulikuwa tunapata daraja la mwanzo, lakini siku hizi biashara imeingiliwa, zipo za daraja la mwisho zinazowekewa vifaa vya daraja la chini, mfano camera original ya simu imeharibika inabadilishiwa ya kichina, Kifaa cha 4g kimeharibika inawekewa kifaa cha 3g, n.k. zinakuwa bei rahisi zaidi ukijumua na faida kubwa ukiuza.

Nilimuonya sana awe makini na hayo maduka, siku ya 2 kaniletea nimsetie vizuri network haoni 4g.

Tumeweka laini zake zote za mitandao minne hamna kitu, ractory reset wapi, cheza sana na settings, n.k.

Kairudhisha dukani mwenye duka kamwambia haina tatizo inakamata internet.

Ilibidi turudi wote nimpe backup, nikamuonyesha muuzaji sifa ya simu hio ni lazima iwe na sehemu ya kuchagua 5g na ikamate 4g, akaleta ujuaji kwamba lte sio 4g, nikamuonyesha maana ya lte ni 4g na videos za simu hio sehemu ikitumia 4g, bado alikataa.

Baada ya kuona ubishi unaendelea ikabidi tumpigie polisi flani aje, Muuza duka kusikia hivyo ndio kaona yaishe karudisha pesa.

Nimemshauri kama anataka kununua refurbished basi aende kwenye maduka yanayoaminika kwa muda mrefu, Refurbished kuna simu nzuri lakini inabidi uwe makini kununua daraja la kwanza, Yaani zina clean condition kuanzia muonekano hadi vifaa vya ndani.
Mwambie jamaa yako asinunue makweche hayo ni kutupa hela tu, baada ya siku mbili battery imekufa hizo ni takataka bora ununue mpya utatulia
 
Back
Top Bottom