Kuna option 2 tu za kuondoa mateso, dhuluma , visa vya utekaji, mauaji ya raia, na ukandamizaji unaoendelea

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
 
Huu ndio ukweli mchungu Zama za wajinga na wapumbavu zimeisha Sasa ni wakati wa ukweli

CCM kuendelea kutawala kiungo uongo itawa cost pakubwa Sana
 
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Or kuna option number 3, jino kwa jino
 
Viongozi wa mchongo ndivyo walivyo, hawataki haki itendeke, huwa wako suspicious na kila anayewakosoa
 
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Jaribu kufikiri,aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba mchakatu ulifia mikononi mwake,na leo hii ndiye afufue mchakato uliokufa,hapa na waza kwa sauti,hili jukumu wangepewa manabii wafufuaji akina Gwajima wa ufufuo na uzima,akina TAL,akina Nabii wa majira yote akina Lema,au manabii waliokataliwa home akina Ngoosha a.k.a Mpina wangetuvusha ila sii waliouuwa mchakato.
 
Option na. 2 haiwezi kuondoa uonevu na utekaji, kwasabb Gwajima, Mpina, Ndugai na Kasimu Majaliwa wameonewa na kubagazwa lkn ni wanaccm.
 
Kuwa na vyama vingi vya siasa ni takwa la kimataifa bila kigezo hicho hupati mkopo wangekuwa CCM washafuta zamani lakini wameweka hvyo ili wapate sababu ya kukopa mihela nje.
 
Option na. 2 haiwezi kuondoa uonevu na utekaji, kwasabb Gwajima, Mpina, Ndugai na Kasimu Majaliwa wameonewa na kubagazwa lkn ni wanaccm.
Hao walijisahau Tu kukiwepo CHAMA kimoja hakuna atakayethubutu
 
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Naunga mkono hoja 💯
 
Tukichukua hiyo option ya pili ndiyo mambo yataharibika zaidi. Njia sahihi ni hiyo ya kwanza tu. Watake, wasitake!
 
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Chama kimoja na fomu ikiwa moja sili ndo Yale Yale Tu tena hapa ndo watatufila Sana na uchawa bungeni utakuwa si wa kawaida .wabunge badala ya kusagana kwenye mavyoo watakuwa wanazichapa live
 
Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au

2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.

Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Option ya pili haiwezi kukubaliwa na Wakubwa wetu wa MuDunia hii wenye kudhibiti mashilingi yote ya muDuniani 😳 !
 
Back
Top Bottom