Or kuna option number 3, jino kwa jinoNi either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Viongozi wa mchongo ndivyo walivyo, hawataki haki itendeke, huwa wako suspicious na kila anayewakosoaNi either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Jaribu kufikiri,aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba mchakatu ulifia mikononi mwake,na leo hii ndiye afufue mchakato uliokufa,hapa na waza kwa sauti,hili jukumu wangepewa manabii wafufuaji akina Gwajima wa ufufuo na uzima,akina TAL,akina Nabii wa majira yote akina Lema,au manabii waliokataliwa home akina Ngoosha a.k.a Mpina wangetuvusha ila sii waliouuwa mchakato.Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Hao walijisahau Tu kukiwepo CHAMA kimoja hakuna atakayethubutuOption na. 2 haiwezi kuondoa uonevu na utekaji, kwasabb Gwajima, Mpina, Ndugai na Kasimu Majaliwa wameonewa na kubagazwa lkn ni wanaccm.
Hasa kutoka pwaniViongozi wa mchongo ndivyo walivyo, hawataki haki itendeke, huwa wako suspicious na kila anayewakosoa
Naunga mkono hoja 💯Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Hivi ni kweli Nokia kitochi kalazimishwa kupumzika.Option na. 2 haiwezi kuondoa uonevu na utekaji, kwasabb Gwajima, Mpina, Ndugai na Kasimu Majaliwa wameonewa na kubagazwa lkn ni wanaccm.
Chama kimoja na fomu ikiwa moja sili ndo Yale Yale Tu tena hapa ndo watatufila Sana na uchawa bungeni utakuwa si wa kawaida .wabunge badala ya kusagana kwenye mavyoo watakuwa wanazichapa liveNi either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au
2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee.
Tuache unafiki wadau. Options ni hizo kuweza kuondoa madhira ya dhulma, utekaji, mauaji, mateso yanayoendelea kwenye siasa za vyama vingi hapa inchini vinginevyo tunakoelekea ni kubaya zaidi
Sahihi kabisa, wakikusanya kodi kwenye matanuzi na cherekocherekoHasa kutoka pwani
Option ya pili haiwezi kukubaliwa na Wakubwa wetu wa MuDunia hii wenye kudhibiti mashilingi yote ya muDuniani 😳 !Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au