kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

winy

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
35
Reaction score
8
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana na sikuzinavo enda nazidi kupokea vituko, mwez flan alikua hataki kufanya mapenz akisema mazoez yanamchosha sana,lakn badae akabadlika zaid akawa anarudi sa8,9,hadi sa 10 usiku/alfajiri na hanigusi akidai anamawazo sana yanamuondolea uwezo wa kumudu tendo..majuz nimdeshika simu yake nikakuta msg za mwanamke akisema baby najihisi nina mimba,na msg za ex wake wakionekana walikuwa wanaunganishiana mana ex anadai ila roho inaniuma bado nakuhitaji,,,last night tukayaongelea lakin tukayamaliza kiolela mana mwenzangu hakutaka kuongea na anakua mkali,leo kani drop home akanambia leo sitokuja kukufata uwahi kuja mwenyewe nikakubari lakin sa 11 jion kanipgia kanambia nijenikuchukue saangap nikamjibu ata saiz nikotayari akasema kunakazi anaenda kufanya nimsubir atanifata sa2 usiku.mimi roho ikagoma kabsa nikaona nichukue tax niende kwake now niko kwake hayupo nasijamwambia kama niko kwake nimempigia kanambia kama unaweza nenda home mimi ninaratba ndefu,,saiv nampgia hapokei nimejaribu kumpgia ule mwanamke aliesema anamimba hapokei,,jaman naombeni kuambiwa ninalangu hapa??na nifanye vip kama sina langu najaribu kumuacha bnashindwa najikuta najileta mwenyewe
 
Pole sana Winy!
Maisha yalikuwepo kabla yake na yatakuwepo baada yake.
Kuumia lazima uumie coz umeutoa moyo wako wote kwake, lkn yeye anauponda ponda. Ukiendelea naye maumivu yataendelea na utajishusha thamani pamoja na kujipunguzia level ya confidence yako. Lkn ukimuacha, utaumia kwa muda tu, na thamani yako itabaki vile vile.

Kifupi ni kwamba-
Either way maumivu yapo, lkn kuna madhara zaidi kuendelea naye kuliko kuachana naye!
 

kaunga nimeupenda ushaur wako, Una afya,busara na baraka zote. Akili kumkichwa
 
hapo huna lako winy, we jipange upya tu. kikubwa ukubali matokea na kupiga hatua. after all, mmekutana mkiwa wakubwa buy japo inauma utazoea tu.
 
Hayo ndo madhara ya kuwa na msichana aliyekuzidi uwezo wa kifuedha.
 
Inawezekana Mungu kaamua kukuonyeshea mapema kuwa huyo sio yule ambaye Mungu amekuandalia. Inauma lakini hakuna jinsi, kaa pembeni mdada na usubirie Mungu atakayekuchagulia............ mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
 
ndoa na uchumba huvunjwa n wahusika....jitafakari na pia umtafakari
 
Mwambie 'Tuko wangapi? Tulizana!' lakin inavyoelekea hiyo traki ishapitwa muda wake na muziki unaopigwa sasa ni 'WAZNT MI'
 
Kusoma hujui hata picha huoni?
Wanaume wameisha?
Au mpaka akuletee ngoma?
 
Sio kuwa mimi napenda najitahidi nashindwa
 
kaunga nimeupenda ushaur wako, Una afya,busara na baraka zote. Akili kumkichwa

Thanks swts, l hope winy atapata kitu japo kidogo from that!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo madhara ya kuwa na msichana aliyekuzidi uwezo wa kifuedha.
Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
 
Sio kuwa mimi napenda najitahidi nashindwa

Chukua likizo safiri, badilisha fone no na jizuie kumtafuta!

La endelea kumpenda kwa nguvu zote hoping n praying that your love will do the miracle!
 
Inawezekana Mungu kaamua kukuonyeshea mapema kuwa huyo sio yule ambaye Mungu amekuandalia. Inauma lakini hakuna jinsi, kaa pembeni mdada na usubirie Mungu atakayekuchagulia............ mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Asante nduguyangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…