Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kosa lingine,y ulikuwa unaishi nae?
My take:km huna wa kukulipia ada jifanye mjinga upate hiyo ada,bt tafuta mwanaume mwingine huko chuoni kimya2....ila km uwezo wa ada unao tembea mbele
sasa hebu tuweke wazi unashindwa kumuacha kwa sababu anakulipia ada? au kwa sababu unampenda?Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
pole sana sasa na wewe kaa nae kijasiliamali,mwambie i love you nyingiiii,mpe space ya kutosha, usimfatilie fatilie sana,yaani uimuulize kabisa kuhusu huyo mwanamke wake mwingine na vile mchezo hautaki hiyo ndo salama yako wala usimkumbushie kabisa, lengo lako hapa iwe kupata pesa zake ili umalize chuo,ukiona umelipa ada ya mwisho kata mawasiliano kabisaUnamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada