Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
Nilitaka nikwambie ufanye maamuzi magumu, ila hilo la kuwa anakulipia ada limanifanya nigairi.
Lakini huoni kuwa unatakiwa kuwa na strategies? Unadhani huyo alokuchoka hivyo ataendelea kukulipia ada mpaka lini. Nahisi ataacha soon and very soon.
Was it real love au alikuwa ananunua service ambayo kwa sasa hana shida nayo tena? Kama kuna love ataendelea kukulipia...inawezekana hiyo mimba imemchanganya mpaka ameishiwa nguvu za kiume ndo maana hana hamu ya ku do tena.
Jamani hao wanaume mabingwa wa kuongwa ni maplayer wanawake wenzangu...kuweni makini sana na uchaguzi mnao fanya. Nadhani ulomuacha alikuwa hana pesa kama huyu...lakini utashangaa baada ya miaka anakuwa young milionea. Bora za kutafuta wote mume atakuheshimu kuliko akuone umeolewa au umempenda sababu ya dhiki zako.

Thanks guys kwa ushauri wenu lakini nadhan nilichelewa kuomba ushauri mwisho ulikua umefika...tumeachana last night think wasn't meant to be

Pole sana mdogo wangu...bado niko concerned na shule yako? Kuhusu suala la fee, nani atakulipia?
Kama alivyosema Billie...umasikini unafanya watoto wetu wawe watumwa kwa kweli...its not her fault ni wazazi wanaozaa bila ya uwezo wa kutunza.
Katika maisha ya mahusiano, jambo la msingi ni kujifunza kuvumiliana na kuchukuliana. Utaacha kila siku, mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema niliruka mkojo sasa nimekanyaga mavi. Mara nyingi "NEGATIVE THINKERS" huteswa zaidi na mahusiano, kwani mari nyingi hufikiri kupatwa na mabaya, matokeo yake huyatengeneza mabaya. Ukitaka kukabiliana na mahusiano ni kuwa na uwezo wa kushinda moyo wako katika kuondoa wasiwasi na mashaka juu ya uhusiano wako, hata unapohisi au kuona mwensio amekwenda kinyume, unapaswa kujifanya kama hujaona wala kusikia.
"FIGHT FOR THE ONE YOU LOVE....!!!", kumiliki mtu sio kazi ndogo......!!!
Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
no no no no,
sikubaliani na wewe kabisaaaaa
kwa hiyo kwa ushauri wako, winy ajifanye hakuona msga ya mimba na ya X wake???
au mimi sijakuelewa vizuri? naomba nieleweshe
Ndio maana yake....!!!, wakati mwingine hizi simu zinaharibu sana mahusiano; kuona msg kwenye simu hakufanyi jambo hilo kuwa kweli, vile vile mwanume ni mwandamu anaweza kukosea kama wanadamu wengineo; hivyo basi kama hujifunzi moyo wa msamaha, huwezi kudumu katika mahusiano yeyote yale. Wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa na wake zao waliwasamehe na kuendeleza maisha, simaanishi kwamba ni jambo jema kufanya hivyo, bali muhimu kujifunza moyo wa kusamehe.