[Dalili zote zinaonyesha mwenzio kapata kitu kipya. Lakini kupata kitu kipya si lazima kuachwa. Kwa kuwa hoja yako imejikita kwenye kuachwa bado hujaachwa ila inavyoonyesha yupo kwenye mchakato wa kukupiga chini au awe nanyi wote wote kimtindo. Lakini ujue baadaye utapigwa chini maana hadi kuamua kutafuta kitu kipya ujue mapenzi yake kwako yameshuka. Ukiona manyoya ujue kaliwa! Kazi kwakoQUOTE=winy;4473931]Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana na sikuzinavo enda nazidi kupokea vituko, mwez flan alikua hataki kufanya mapenz akisema mazoez yanamchosha sana,lakn badae akabadlika zaid akawa anarudi sa8,9,hadi sa 10 usiku/alfajiri na hanigusi akidai anamawazo sana yanamuondolea uwezo wa kumudu tendo..majuz nimdeshika simu yake nikakuta msg za mwanamke akisema baby najihisi nina mimba,na msg za ex wake wakionekana walikuwa wanaunganishiana mana ex anadai ila roho inaniuma bado nakuhitaji,,,last night tukayaongelea lakin tukayamaliza kiolela mana mwenzangu hakutaka kuongea na anakua mkali,leo kani drop home akanambia leo sitokuja kukufata uwahi kuja mwenyewe nikakubari lakin sa 11 jion kanipgia kanambia nijenikuchukue saangap nikamjibu ata saiz nikotayari akasema kunakazi anaenda kufanya nimsubir atanifata sa2 usiku.mimi roho ikagoma kabsa nikaona nichukue tax niende kwake now niko kwake hayupo nasijamwambia kama niko kwake nimempigia kanambia kama unaweza nenda home mimi ninaratba ndefu,,saiv nampgia hapokei nimejaribu kumpgia ule mwanamke aliesema anamimba hapokei,,jaman naombeni kuambiwa ninalangu hapa??na nifanye vip kama sina langu najaribu kumuacha bnashindwa najikuta najileta mwenyewe[/QUOTE]