Hapa ni kuwaripoti tu, kwa mfano ule uwanja wa Tabora!Raisi wa CAF kasema kuna pesa zinatolewa kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu ya soka Africa,
Najiuliza nchini kwetu kuna ukarabati wowote wa miundo mbinu uliofanywa na TFF!View attachment 2906648
TFF ni mafisadi kuna haja ya takukuru kuichunguza hii taasisi, haiwezekan serikali inatoa pesa za ukarabati wa viwanja wakati kuna fungu linatolewa CAF kwa kazi hizo!Hivi unajua FIFA under Blatter alikuwa anatoa Pesa kiasi gani katika haya Mashirikisho ya Soka Duniani (Na ndio maana bila kupigwa Figisu angeendelea kushinda uchaguzi)
In short kuna faranga za kufa mtu kwenye hizi Taasisi...
Mkuu yaani bila transparency system / taasisi yoyote inayoendesha na Bin Adamu its bound to be corruptible...; yaani hata hio pesa kutoka serikalini ili ifanye ukarabati ni muendelezo wa Upigaji...; Na sasa hivi sababu hakuna ufuatiliaji ni kama kuna mnada fulani wa kila mtu kuchukua anavyoweza kukija kukisha tutajikuta tushauzwa..... (Sio kwenye Soka tu kila Mahali penye Pesa kuna Upigaji)TFF ni mafisadi kuna haja ya takukuru kuichunguza hii taasisi, haiwezekan serikali inatoa pesa za ukarabati wa viwanja wakati kuna fungu linatolewa CAF kwa kazi hizo!
Unaweza kuwa sahihi....maana huu upigaji upo hata upande wa 2yamkini zinaletwa ila zinaingizwa kwenye matumizi mengine ya serikali.ndio maana kuwa Rais wa hii taasisi ni lazima awe mtu wa serikali au Rais wa hii taasisi afate maelekezo bila kukaidi.
aiwezekani tangia pesa za kipindi cha utawala wa Sepp Blatter mpaka leo hii miundo mbinu ya viwanja vingi imedumaa.