Kuna pesa zozote zilizotolewa na TFF!

Kuna pesa zozote zilizotolewa na TFF!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Raisi wa CAF kasema kuna pesa zinatolewa kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu ya soka Africa,
Najiuliza nchini kwetu kuna ukarabati wowote wa miundo mbinu uliofanywa na TFF!
Screenshot_20240217_104314_X.jpg
 
Hivi unajua FIFA under Blatter alikuwa anatoa Pesa kiasi gani katika haya Mashirikisho ya Soka Duniani (Na ndio maana bila kupigwa Figisu angeendelea kushinda uchaguzi)

In short kuna faranga za kufa mtu kwenye hizi Taasisi...
 
TFF ni mafisadi kuna haja ya takukuru kuichunguza hii taasisi, haiwezekan serikali inatoa pesa za ukarabati wa viwanja wakati kuna fungu linatolewa CAF kwa kazi hizo!
 
Hii ni official notice kweli?

President wa CAF anaandika 2right.......au tyt.........au 2report .......

Basi haya
 
TFF ni mafisadi kuna haja ya takukuru kuichunguza hii taasisi, haiwezekan serikali inatoa pesa za ukarabati wa viwanja wakati kuna fungu linatolewa CAF kwa kazi hizo!
Mkuu yaani bila transparency system / taasisi yoyote inayoendesha na Bin Adamu its bound to be corruptible...; yaani hata hio pesa kutoka serikalini ili ifanye ukarabati ni muendelezo wa Upigaji...; Na sasa hivi sababu hakuna ufuatiliaji ni kama kuna mnada fulani wa kila mtu kuchukua anavyoweza kukija kukisha tutajikuta tushauzwa..... (Sio kwenye Soka tu kila Mahali penye Pesa kuna Upigaji)
 
yamkini zinaletwa ila zinaingizwa kwenye matumizi mengine ya serikali.ndio maana kuwa Rais wa hii taasisi ni lazima awe mtu wa serikali au Rais wa hii taasisi afate maelekezo bila kukaidi.

aiwezekani tangia pesa za kipindi cha utawala wa Sepp Blatter mpaka leo hii miundo mbinu ya viwanja vingi imedumaa.
 
Unaweza kuwa sahihi....maana huu upigaji upo hata upande wa 2
 
Nazionea huruma hizo hela! Maana zikifika tu kwa wale Fisi wakiojazana pale TFF, zinatafunwa zote. Halafu wanawatafuta wahasibu wao, wanawajazia ripoti hewa
 
Back
Top Bottom