Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

Inaitwa nini???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anewei; mvinyo huwa ghali kulingana na unakunywa wapi
Bongo mil 15 [emoji849][emoji849][emoji849]
Ila nahisi Champagne ndio huwa ghali sana Esp; Dom pigeon Rose
Unaonekana upo vzri ....bibie
 
Hiyo ni kinywaji ya frimasoni , ukiinunua tu unaanza kupata hela nyingi🐒
 
Nimegugu kumbe ni Crystal Head Vodka
 
Nimegugu kumbe ni Crystal Head Vodka
 
Labda inasafisha na nyota,unakuwa tena sio wa vibaa vya uswahilini...
 
Umeambiwa serena sio duniani......
 
Huko ulaya inauzwa paundi 270 ni km laki 8 na kitu kwa lita 3. So uki import bongo ina maana inafika milioni na kitu....

 
Samahani soda ipi hyo 80,000?
 
Habari zinahusu serena ila picha zinahusu tunateseka Pub.
 
unalewa milele? pombe haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…