Kuna pombe zinaitwa faru au banana chupa yake ni kijani ukibandua sticker ni Heineken

Hizo ni banana nina duka langu huku mbezi naziuzaga moja 900 wenye kampuni wanasema hawana chupa zakutosha??sasa wao wanatumia za windo au henken au zakwao wao?? Hizo zikikaa kwenye joto zina lipukaa zonyewee ila faru ndio kibokoo kulipuka aiseee nasikia banana zinatoka Arusha!!! Banana zimezagaa sana mbezi palee ndio kinywaji pendwa
 
We tafuna banana wewe!acha kuuliza uliza,ukitaka kunywa kifua mbele we bandua hiyo lebo ya Faru ibaki hiyo ya heineken,tayari? Ewaaa now what you see is what you drink,enjoy your week end sir.
 
Hizo ni banana nina duka langu huku mbezi naziuzaga moja 900 wenye kampuni wanasema hawana chupa zakutosha??sasa wao wanatumia za windo au henken au zakwao wao?? Hizo zikikaa kwenye joto zina lipukaa zonyewee ila faru ndio kibokoo kulipuka aiseee nasikia banana zinatoka Arusha!!! Banana zimezagaa sana mbezi palee ndio kinywaji pendwa
Ndo zenyewe mkuu mkikaa siku mara mnaskia tuuufu mnajua huko tayari kitu kimeshajibu jamaa anaenda kutoa tu chupa
 
Shida zake nyingine huwa zinalipuka balaa hizo ndo nilikuwa nalewa nakunywa ata tano, nilikuwa nazipenda sana ila now sizitumii
 
Hizo ni banana nina duka langu huku mbezi naziuzaga moja 900 wenye kampuni wanasema hawana chupa zakutosha??sasa wao wanatumia za windo au henken au zakwao wao?? Hizo zikikaa kwenye joto zina lipukaa zonyewee ila faru ndio kibokoo kulipuka aiseee nasikia banana zinatoka Arusha!!! Banana zimezagaa sana mbezi palee ndio kinywaji pendwa
Kama una contact na hao jamaa wa Banana nisaidie nina chupa Za henkeni kama elfu 50 natafuta soko
 
Back
Top Bottom