Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
Kitu kilichotengenezwa na binadamu hakiwezi kumshinda binadamu. Hiyo VAR ingekuwa ni suluhisho Yanga wangekuwa wanacheza fainali CAFCL
 
Kichekesho mpira wenyewe wanaonesha kwa kamera chache tena very local ndio wataweza V.A.R viwanja vyenywe kama majaruba ya mpunga
 
Kwa Bongo hii na Azam hii hii ya kamera 4 sijui 5.

The Var system consists of 42 cameras including slow and ultra slow motion cameras as well as the cameras used in offside technology, and all FIFA host broadcaster camera feeds to ensure the VAR has the best angle possible on every play
 
Do research , unajua ila ujui kitu .
 
Kichekesho mpira wenyewe wanaonesha kwa kamera chache tena very local ndio wataweza V.A.R viwanja vyenywe kama majaruba ya mpunga
You transfer the technology from one field to another
Kichekesho mpira wenyewe wanaonesha kwa kamera chache tena very local ndio wataweza V.A.R viwanja vyenywe kama majaruba ya mpunga
 
Hatuwezi kuweka VAR kwenye viwanja 16 Labda tufanye upendeleo kwa hizi timu kubwa zikiwa nyumbani ila ugenini tukabebwe kama kawaida😁😁

Imagine unafunga VAR manungu turiani alafu baada ya mechi mbili uwanja unafungiwa miundombinu mibovu
 
Inawezekana kwa mechi chache kwenye viwanja ambavyo vina miundombinu miziri
 
var is up and running
1717533187187.png
 
Inabidi tuwe na waamuzi wenye ujuzi wa hali ya juu
 
Tangu nielewe ya kua VAR haitoi maamuzi nkishia hapo hapo
2 kule SA VAR si ilikuepo?
 
Kama VAR ilitunyima Yanga goli letu kule CAF basi waondoe tu hayo maushuzi meupe.

Halaf hizi technology zimekuja kuharibu tu mpira, raha ya mpira Maradonna afunge kwa mkono na msione
Alifunga Tambwe mkang'oa viti na kuna watu wakaumia. Raha inatoka wapi hapo?
 
Back
Top Bottom