Kitu kilichotengenezwa na binadamu hakiwezi kumshinda binadamu. Hiyo VAR ingekuwa ni suluhisho Yanga wangekuwa wanacheza fainali CAFCLKuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!
note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
Shilingi milioni moja ya Tanzania ni sawa na elfu kumi na tano na mia tano tu kwa hela ya Mauritania.Kwanini ishindikane wakati nchi kama Mauritania msimu ujao wanaanza VAR
Kwa Bongo hii na Azam hii hii ya kamera 4 sijui 5.
The Var system consists of 42 cameras including slow and ultra slow motion cameras as well as the cameras used in offside technology, and all FIFA host broadcaster camera feeds to ensure the VAR has the best angle possible on every play
You transfer the technology from one field to anotherKichekesho mpira wenyewe wanaonesha kwa kamera chache tena very local ndio wataweza V.A.R viwanja vyenywe kama majaruba ya mpunga
Kichekesho mpira wenyewe wanaonesha kwa kamera chache tena very local ndio wataweza V.A.R viwanja vyenywe kama majaruba ya mpunga
HASIBU la Bakhresa Group Of Companies.Bakheresa anaingia hasara sana
Alifunga Tambwe mkang'oa viti na kuna watu wakaumia. Raha inatoka wapi hapo?Kama VAR ilitunyima Yanga goli letu kule CAF basi waondoe tu hayo maushuzi meupe.
Halaf hizi technology zimekuja kuharibu tu mpira, raha ya mpira Maradonna afunge kwa mkono na msione