Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

mourisous

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Posts
443
Reaction score
269
Habari wakuu...??

Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:-

1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi?

2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na postgraduate Diploma??

3. Zipi sifa za kujiunga na postgraduate kwa watu wenye Bachelor Degree ya Ac na Bachelor Degree ya HRM?

4. Sifa za kujiunga na postgraduate Diploma ni zipi?

Asante I naomba kuwasiliana kwa michango ya majibu ywnu wakuu.

Karibuni
 
Hakuna post graduate degree ila kuna post graduate diploma, hii ni kozi inayokupa sifa za kusoma masters iwapo una ufaulu wa degree minimum lower second namaanisha ufaulu chini ya gpa 2.7. Vilevile post graduate diploma unaweza soma kama unataka kubadili fani madhalani degree ya kwanza ulisoma sheria unataka badili fani uwe afisa utumishi(hrm) itabidi uanze kwanza kusoma post graduate diploma, na hua ni mwaka 1.
 
Safi maelezo mazur.
Nyongeza/marejebisho ni kwamba ukipata gpa ya 2-2.9 kwa mujibu wa marekebisho ya Wizara ya Elimu huwez kusoma masters badala yake utasoma Pg diploma ili uweze kusima hiyo masters.
 
Utangulizi.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, postgraduate degree ni kozi ambayo ili kuisoma unapaswa uwe na degree ya kwanza (undergraduate/bachelor). Kwa maana hiyo postgraduate degree inaweza kuwa;
  1. Postgraduate diploma
  2. Masters
  3. PhD
Majibu ya maswali yako.

1. Kozi za Postgraduate degree zipo. Kuna hiyo Post. Diploma, Masters na PhDs. Sifa muhimu ya kusoma ni uwe na Bachelor degree. Masters nyingi ni 2years, most PhDs ni 3 na Post. Diploma inaweza kuwa 1-3years.

2. Post. Graduate degree ni kundi, wakati Post. Diploma ni sehemu ya hilo kundi.

3. Sifa za kujiunga na postgraduate degree kwa case ya Masters in Ac na Masters in HRM ni Bachelor degree za Ac, HRM au Bachelor degree yoyote yenye uhusiano na hizo field. (Endapo umekidhi kigezo cha GPA ya Bachelor degree)

4. Kujiunga na post. Diploma, Uwe na Degree ya kwanza. Kama hauna, unaweza jiunga kwa kutumia working experience katika field unayoombea AU advanced certificate in the relevant field mfano Marketing, biashara n.k.

Kila la heri.
Habari wakuu...??

Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:-

1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi?

2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na postgraduate Diploma??

3. Zipi sifa za kujiunga na postgraduate kwa watu wenye Bachelor Degree ya Ac na Bachelor Degree ya HRM?

4. Sifa za kujiunga na postgraduate Diploma ni zipi?

Asante I naomba kuwasiliana kwa michango ya majibu ywnu wakuu.

Karibuni
 
Kwa mojibu wa prospecta ya UDSM 2020 postgraduate ni kozi zote unazozisoma baada ya digrii ya kwanza. Hata master ni postgraduate.
Download prospecta ukaisome vizuri utaona kumbe kozi zote baada ya digrii ya kwanza ni post graduate studies
 
Utangulizi.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, postgraduate degree ni kozi ambayo ili kuisoma unapaswa uwe na degree ya kwanza (undergraduate/bachelor). Kwa maana hiyo postgraduate degree inaweza kuwa;
  1. Postgraduate diploma
  2. Masters
  3. PhD
Majibu ya maswali yako.

1. Kozi za Postgraduate degree zipo. Kuna hiyo Post. Diploma, Masters na PhDs. Sifa muhimu ya kusoma ni uwe na Bachelor degree. Masters nyingi ni 2years, most PhDs ni 3 na Post. Diploma inaweza kuwa 1-3years.

2. Post. Graduate degree ni kundi, wakati Post. Diploma ni sehemu ya hilo kundi.

3. Sifa za kujiunga na postgraduate degree kwa case ya Masters in Ac na Masters in HRM ni Bachelor degree za Ac, HRM au Bachelor degree yoyote yenye uhusiano na hizo field. (Endapo umekidhi kigezo cha GPA ya Bachelor degree)

4. Kujiunga na post. Diploma, Uwe na Degree ya kwanza. Kama hauna, unaweza jiunga kwa kutumia working experience katika field unayoombea AU advanced certificate in the relevant field mfano Marketing, biashara n.k.

Kila la heri.
mfano mtu anayo first degree na GPA aliyoipata haimruhusu kuwa tutorial assistant, je akisoma postgraduate diploma anaweza kuwa na sifa kama atafaulu vizuri?
 
kwa vyuo vya uma inalazimu kuwa na Bachelor degree, hii ni kutokana na vigezo ambavyo wameweka. Kwa mfano tangazo la TA linasema uwe na bachelor degree kwenye field husika na GPA isishuke 3.8 (au 3.5 kwa baadhi ya vyuo). Kazi unaiombea ajira portal sasa kwa namna mfumo ulivyowekwa kama hauna kigezo chochote walichoweka kwenye tangazo unakuchuja kabla hata haujatuma maombi.
 
Back
Top Bottom