siansakala
Member
- Aug 12, 2012
- 75
- 10
jaman nackia hawa jamaa kuna pre entry exam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasaa watu si watafanya vibaya sana au maswali yatakuwa ya aina gani mmmhMböna hatujaambiwa?
mkuu hujasoma map mda mrefu eeh?? unakumbuka namba hata formula moja kwel....be ready pre entry hiyoooo...ila mi siamin kama ni kwel..tungoje time will tell...Mböna hatujaambiwa?
Hallo! Nisaidie ni wap napata majina ya udsm! Maana nashndwa
Kwenu WanaJf
Kuna Vijana humu wamekuwa wakitoa kejeli kwa wale wote tuliochaguliwa UDSM mwaka huu,yaani kutuonea gere mara selection fake,mara tunaongeza population Dar,mara kuna majina are not admitted lakini yapo kwenye list ya Udsm.
Naomba niseme UDSM sawa na vyuo vingine,muhimu someni huko mlikochaguliwa mpate G.P.A nzuri tukutane katika soko la Ajira.pia kwa sasa uwezekano wa kuajiriwa Tz ni 20%hivyo ni vizuri ukipanga mapema ili ujiajiri.
Nawatakia Mwaka Mwema Wa Masomo.2012/13