MARCO JOHN
Member
- Jun 1, 2012
- 96
- 35
Hiki chuo kiko tanzania?
YAP MAPTOKEO HAYA HAPAhttp://www.sekuco.org/index.php?option=com_content&view=article&id=184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki chuo kiko tanzania?
Kwenu WanaJf
Kuna Vijana humu wamekuwa wakitoa kejeli kwa wale wote tuliochaguliwa UDSM mwaka huu,yaani kutuonea gere mara selection fake,mara tunaongeza population Dar,mara kuna majina are not admitted lakini yapo kwenye list ya Udsm.
Naomba niseme UDSM sawa na vyuo vingine,muhimu someni huko mlikochaguliwa mpate G.P.A nzuri tukutane katika soko la Ajira.pia kwa sasa uwezekano wa kuajiriwa Tz ni 20%hivyo ni vizuri ukipanga mapema ili ujiajiri.
Nawatakia Mwaka Mwema Wa Masomo.2012/13
Hiki chuo kiko tanzania?