Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Wanatamani lugha yetu ya Kiswahili yani hadi neno safari wameongeza kwa dictionary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu wimbo wa taifa wa Kenya waliusifia sana baada ya wanariadha wetu kuufanya usikike kote kote. Ila sikudhani wataupenda sana kiasi cha kutukosea heshima. Pumbavu zao, bila shaka watakiona cha moto kutoka kwa wakenya hivi karibuni.
Huo wimbo mliiga wa Afrika Kusini, ubunifu kwenu zero, hata kama mliwatangulia kupata uhuru lakini wimbo ulikuwa wao.
Kumbe Tz ni wapole sasa kwanini mnalia lia kuchezewa foul kwenye biashara! si muonyeshe huo ukali wenu! Vifaranga tumechoma, ngombe tume taifisha, bidhaa zenu tumezizuia ila nyie mnalia tu. Sasa kuna wavuvi wenu tumewahifadhi sehemu salama, abda kama huo ukali wenu ni kwenye keyboards tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaranga vyenu hatuja hangaika navyo ni afisa mmoja wa border alitoa order vi chomwe, within 30 minutes vikatokomezwa. Sisi tunapambana na giant Multinationals mpaka zina omba poo! Kawa ulize Barrick, Accacia, Bharti, Dangote cement e.t.cUpole wenu ndio chanzo cha umaskini wenu, madini na gesi vyote vinaliwa kwa mlivyo waoga mnahangaika na vifaranga vya kuku wetu.
naona unaongea kimihemko hivyo basi sina mda wa kujenga hoja na wewe licha ya kwamba nilitaka tujenge hoja zenye mashiko ili tujuzane vitu tulivyokuw hatujui ila kwa ulivyonijibu naomba tuishie apaHuo wimbo mliiga wa Afrika Kusini, ubunifu kwenu zero, hata kama mliwatangulia kupata uhuru lakini wimbo ulikuwa wao.
Unategemea nini ilhali huo ndio wimbo wa taifa bora Afrika, lazima wasingeuacha, pumbavu sana wale mabeberu, wamebeba gesi ya majirani na madini yote sasa wameelekeza pua kwetu.
Unavohadithia yaani hadi nakuona wewe mwenyewe ukimvisha mvuvi mmoja pingu. [emoji1] Ila uhaliasia wa mambo ni kwamba uliona link ya habari yenyewe kwenye mitandao, alafu wewe hapo na kiherehere chako ukabonyeza. 😀Kumbe Tz ni wapole sasa kwanini mnalia lia kuchezewa foul kwenye biashara! si muonyeshe huo ukali wenu! Vifaranga tumechoma, ngombe tume taifisha, bidhaa zenu tumezizuia ila nyie mnalia tu. Sasa kuna wavuvi wenu tumewahifadhi sehemu salama, abda kama huo ukali wenu ni kwenye keyboards tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hatujuani hapa..unaeza ukawa umeotea shughuli zangu bila kujua!Unavohadithia yaani hadi nakuona wewe mwenyewe ukimvisha mvuvi mmoja pingu. [emoji1] Ila uhaliasia wa mambo ni kwamba uliona link ya habari yenyewe kwenye mitandao alafu kwa umbea wako ukabonyeza. 😀
Aaah wapi bana, nyinyi ma'civilian' kawaida yenu huwa hamna swag, nawajua sana. 😎Uzuri hatujuani hapa..unaeza ukawa umeotea shughuli zangu bila kujua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaranga vyenu hatuja hangaika navyo ni afisa mmoja wa border alitoa order vi chomwe, within 30 minutes vikatokomezwa. Sisi tunapambana na giant Multinationals mpaka zina omba poo! Kawa ulize Barrick, Accacia, Bharti, Dangote cement e.t.c
NB: Tz ndiyo inaongoza kwa ku attract FDI in E.A.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa haaa haaa
huko kwenu ndiko walikokomba kila KITU kina Dalamare wakishirikiana na kina Kenyatta.
Wangekomba kila kitu hatungekua tumewashinda nyie kwa kila kitu, umaskini kwenu ndio kila kitu.
nyie mmetuzidi kwenye hii
www.transparency.org
SGR ni mchina, kahawa na maua niya mwingereza..Hofu ya nini wimbo wa taifa ukichukuliwa? Shamba la bibi
[emoji848][emoji848][emoji848] Americans wanatutafuta sana these days. Mara Hakuna Matata,Safari,Dusit D2, sasa ni National Anthem??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa perception index, mabumbumbu wa kuimba pambio watasifia siku zote hata wakiuluzwa.
Ahaaa haaa haaa
wewe wale wanaofanya utafiti wa cpi wanaakili finyu kama zako. ni ma psychologists waliojitosha. wanaelewa na
wanajua kila kitu anachofanya mtu kinatoka moyoni au akilini au MTAZAMO. sasa wewe wote hapo kwenu mna MTAZAMO wa kupata kitu kidogo, unafikiri corruption itakuwa ndogo?
by the way. Marekani wametoa tahadhari ya alshabab. jipange ohooo.
Nilikuqa nakukubali sana ila kwa hili nikiri tu NIMEKUDHARAUHuo wimbo mliiga wa Afrika Kusini, ubunifu kwenu zero, hata kama mliwatangulia kupata uhuru lakini wimbo ulikuwa wao.
Kwani nyie siku hizi mnaongea kiswahili??Wanatamani lugha yetu ya Kiswahili yani hadi neno safari wameongeza kwa dictionary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtazamo wa nyie ambao huwa mpo kwenye herd mentality lazima msifie hata kama mnaibiwa kila siku.