Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Wanatamani lugha yetu ya Kiswahili yani hadi neno safari wameongeza kwa dictionary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu wimbo wa taifa wa Kenya waliusifia sana baada ya wanariadha wetu kuufanya usikike kote kote. Ila sikudhani wataupenda sana kiasi cha kutukosea heshima. Pumbavu zao, bila shaka watakiona cha moto kutoka kwa wakenya hivi karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app